Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diogo Jota
Dah wapo wachezaji special kwa ajili ya mifumo fulaniHuu mfumo kwa makocha walioutumia huwa hawana pumzi for atleast 2-4 seasons aki dominate unlike other system. Kwenye hiyo 5 hao Wing backs wanapaswa wawe na mapafu kweli kweli ndio wenye kuutimiza huo mfumo wa ufasaha, ndio mfumo wao huo, umeundwa kwa ajili hiyo..!!! Mkizuia wanakuwa 5-3-2 hao RWB & LWB wanarudi kuwa LB & RB, offensively wanaenda kuwa LW & RW, hapo ukutane na pressing teams too many games”, ni hatari kaka. Ndio mana wanautumia makocha wachache sana.
Conte, Tuchel, Sari, ndio waumini wakubwa, ila top top coaches wanatembea na 4-3-3 plus 4-2-3-1,
Ynwa’
Na bado utasemaAllison ni golikipa 🙌🏿
bora leo umekubaliAllison ni golikipa 🙌🏿
Mmh ni wewe Saint Anne miss Trent au umedukuliwa.Allison ni golikipa 🙌🏿