Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kituu
 

Attachments

  • Screenshot_20241005_134027_Google.jpg
    Screenshot_20241005_134027_Google.jpg
    254.4 KB · Views: 3
Four changes have been made for the reds to face Palace,

Tsimi for Robbo
Jones for Szobo
Gakpo for Diaz
Jota for Darwin

Becker
Trent
Tsimi
Konate
Vvd (with full confidence of staying untill 2028).
Jones
Macca
Gravern
Salah
Jota
Gakpo.

Away match as usual will be tough vs Palace. Hizi midtable team wakicheza na mkubwa kitu wanakiongeza ni umakini na ufasaha wa kuwa timamu uwanjani as a team, hakuna mvivu, mentality hubadilika, wanashinda mipambano yao nguvu (physical battle), second balls ziwe zao,

Zaidi sana wao wamekuwa na wiki nzima ya mapumziko bila mechi, while LFC tulikuwa na mechi j’5 jioni, atleast ilikuwa pale pale UK, but game is just a game.

Wish all the best to Jones, awe na game nzuri ya kumshawishi Slot yasimkute ya Quansah vs Ipswich. Jones can offer goals and assist, ikiwa tu anaacha utoto wake.

Tough game, aggressive match, Palace with 3-4-2-1 on paper ila hiyo inakuja kuwa 5-3-2 wakizuia, dawa ni goli la awali ili kuwatoa kwenye mfumo wa uzuiaji na kuwafanya wafunguke kutafuta magoli. Wapo nafasi ya 18, with just 3 points, of which is not a good kwa status yao recently.

Natarajia watakuja with full gear, plus early kick of fever ya big team. Lets hope this rotation will give us good rhythm and good flow of football.

It’s your match Jones, keep it in your shoulder,


See you after the match.


Up Liverpool
Go reds
Ynwa’
 
Hawa palace mbona wanakimbilia kushika shika wenzao utadhani wanataka kucheza mieleka🚮
 
Huu mfumo kwa makocha walioutumia huwa hawana pumzi for atleast 2-4 seasons aki dominate unlike other system. Kwenye hiyo 5 hao Wing backs wanapaswa wawe na mapafu kweli kweli ndio wenye kuutimiza huo mfumo wa ufasaha, ndio mfumo wao huo, umeundwa kwa ajili hiyo..!!! Mkizuia wanakuwa 5-3-2 hao RWB & LWB wanarudi kuwa LB & RB, offensively wanaenda kuwa LW & RW, hapo ukutane na pressing teams too many games”, ni hatari kaka. Ndio mana wanautumia makocha wachache sana.

Conte, Tuchel, Sari, ndio waumini wakubwa, ila top top coaches wanatembea na 4-3-3 plus 4-2-3-1,

Ynwa’
Dah wapo wachezaji special kwa ajili ya mifumo fulani

Kwa mfumo huu Dumfries utampenda sanaaaa
 
Back
Top Bottom