Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

‘I believe in training ground over buying’,

“i have good squad with top top quality players”kikamkuta jambo akaona hapana aisee hiki nachojiaminisha sitafika popote, akabadili msimamo mambo yakajipa.

Sio kila msimamo ni wa kuushikilia.

Ynwa’
This is EPL ambapo unakata mti unpanda mti in "like for like" subs.. Unatoa Jota unaweka Nuenz.. Diaz unaweka Gapko nk nk... Ukishakua na wachezaji kiwango basi huko mazoezini maelekezo ya mwalimu yanaeleweka kwa kila mmoja. Lakin ukiwa na magalasa kama akina Henderson basi ujue kuna mahala utadodoshwa case study dogo Henderson aliwai zomewa mara kadhaa kwa kupenda kurudisha mipira nyuma almost wakati mwingi huku akiwa na chance ya kupiga mpira mbele...
Kwa sasa tunao average players Jones, Tsimikas nk dalili njema ni kwamba chini ya Slot wamekuja kivingine kabisa kiasi angalau huko mazoezini kinaleweka wanachofundishwa aisee hii inanpa amani sana kwamba mwalimu somo la tactics linawafikia vyema walengwa..
Most improved players chini ya Slot kwa sasa ni Gravenberch, Diaz, Konate, VVD, Trent, Robbo nk nk

Ngoja wa break kimataifa warejee wakiwa wazima maana wakirudi tu ndani ya siku 10 tuna gemu zifuatazo
Screenshot_20241006_063715.jpg

YNWA
 
View attachment 3116495

YNWA
October iko tight sana na hii ratiba
 
Screenshot_20241006_083514.jpg

Hii ndio itakua kipimo cha Slot na vijana wake kwamba msimu huu tunahitaji tuwe wapi big 4 ama contenders wa makombe mazito...
Upepo wa majeruhi uwapitie mbali vijana mechi za kimataifa na Macca angalau iwe sio jeraha la kuwe nje kwa wiki kadhaa.

YNWA
 
Screenshot_20241006_083443.jpg

Les Captain Fantastic solid as ever...
Tumecheza mechi 10 tumefungwa 1 na kuruhusu magoli mawili tu EPL.

Proper statement... Kipara na Arteta watch out we are coming 🏃.... 🔥 🔥

YNWA
 
Epl Moja.

Na alinipa kukosa EPL mwaka jana kwa kuzembea mechi muhimu dhidi ya Aseno.

Its ok before ilo moja ulisubiri for how many years,.??!

2ndly, Je, tulikosa ubingwa kwa points tatu (3) kiasi cha kusema tungeshinda game vs Arsenal ndipo tungelikuwa mabingwa??

Baada ya mechi ile ya Arsenal hatukuptoza tena? Kwamba tulishinda na kuendelea kushinda??

Ynwa’
 
Back
Top Bottom