BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 337
- 797
Wadau Eeeh, Mimi huyu slot simuelewi kabisa yani boli lake.
Naona after international break mvua ya vichapo itaanza.
Naona after international break mvua ya vichapo itaanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anaongoza ligi unasema humuelewi?Wadau Eeeh, Mimi huyu slot simuelewi kabisa yani boli lake.
Naona after international break mvua ya vichapo itaanza.
Oneni haka katoto jamani!Huna ubavu huo bana”,. Mpaka uombe ruhusa
Ukweli gani?Sibishi ndio ukweli ulipo”,..
Simba wanasema ushindi wa Liverpool kama wa Yanga! Kagoli kamoja kamoja!Tunashinda japo kwa kusuasua lakin ushindi ni ushindi hakuna namna...
YNWA
Ila kiukweli mimi Slot wenu bado sijamkubaliHeheh kaka mtizamo wa mpira ni tofauti, na inategemea mtu anaangalia kwa angel ipi? Ila ukiona unapingwa sana mambo ni mawili.
1. Sio mambo wanapaswa kuelewa
2. Mambo yamezidi kimo cha fikra zao.
Kwa ufupi tunaelewa yale ubongo unataka kuyaelewa.
Hata humu kuna watu hawamkubali Slot na Gravern thats why ikitokea mambo yameenda kombo utaona reaction zao.
Nilijua Slot anatosha, kumbe bado?! as if Klopp na waliopita were invisible.
Nilijua Gravern atatufikisha salama,. Unaona mtu kama huyu ni shabiki wa LFC lkn humo humo ndani kuna ambavyo havipendi na anatamani viharibike aje aseme nilisema.
‘TUISHI NAO VIVYO HIVYO MKUU’
Ynwa’
Gomez😷😷Finger crossed
Vvd, Macca, Salah hawa jamaa injury zao zitatuathiri pakubwa sana, my concern ipo kwa hawa jamaa, kule LCB kwa sasa hakuna anayeweza kumudu vizuri kama Vvd kwa tulionao, labda Konate & Gomez, but they are nowhere near Vvd excellence.
Ynwa’
Kwenye majibu ananifurahisha sana japo kwenye tactics zake bado sijamsomaWho is enjoying Slot’s answers just like me?? Jamaa kuna maswali anaenda opposite na journalist wanavyotarajia.
Ynwa’
haswaa huyu Aseno namuwaza sana, kocha wao ni mzuri wa kusoma mbinu za wapinzani wakeSi kuwatoa thamani hao wajerumani wawili, ila kuna fixture ngumu ni hizi kwangu:-
Vs Chelsea
Vs Arsenal
Vs Villa
Vs Madrid
Vs City
Vs S’ton
Tough Tough matches, hao wengine its going to be tough too, ila hauwezi fananisha na hao hapo juu. Hawa S’ton wana good football kwa sasa, plus mrundikano wa Mechi utarahisisha game kwao, back to back games wanaweza kutukuta kwenye fatigue plus some injuries (God forbid).
Hapo ni suala la injuries tu, ila kuna mechi naona tukitoka salama, hao Londonese wawili kuna mmoja atakuwa mbishi sana.
Ynwa’
Tangu saga la Torres huwa naamini mchezaji anaondoka dakika yoyote saa yoyoteTrent hawezi kuondoka kizembe hivi
Mimi mwenyewe bado sijamuelewa😷😷Mtu anaongoza ligi unasema humuelewi?
Ukweli gani?
Ukweli gani?
Na anaongoza ligi, kweli tunatofautianaKwenye majibu ananifurahisha sana japo kwenye tactics zake bado sijamsoma
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Dogo unanisaka kimya kimya si bure.Yule jamaa hata sura ya ukocha hana yaani
Kina Bobby hao akitaka huyo pep wa mchongo akaimu.
Mara mia tungemchukua Gerrard.
Pointi. 3 muhimu ndio nguzo mkuu.Simba wanasema ushindi wa Liverpool kama wa Yanga! Kagoli kamoja kamoja!
Lakini hata pep si ulisemaga atakuwa amejifunza vingi kutoka kwa Klopp🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Dogo unanisaka kimya kimya si bure.
Chaguo langu ilikua kama ifuatavyo..
Alonso..
Amorim....
Slot.
YNWA
Leo hii nianze kubishana na mtoto wangu kuthibisha kuwa mimi ni kama mama yake kweli!Hauwezi thibitisha wewe ni mkubwa kuliko mie tena by miles kama unavyojinadi”,.
Sasa mtoto umri wa kina Diaz ndio ukalingane na mimi kweliMie mkubwa kukuzidi”,..
Mi nimeshamuelewa ila bado sijajiridhishaMimi mwenyewe bado sijamuelewa😷😷