Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Heheh kaka mtizamo wa mpira ni tofauti, na inategemea mtu anaangalia kwa angel ipi? Ila ukiona unapingwa sana mambo ni mawili.

1. Sio mambo wanapaswa kuelewa
2. Mambo yamezidi kimo cha fikra zao.


Kwa ufupi tunaelewa yale ubongo unataka kuyaelewa.

Hata humu kuna watu hawamkubali Slot na Gravern thats why ikitokea mambo yameenda kombo utaona reaction zao.

Nilijua Slot anatosha, kumbe bado?! as if Klopp na waliopita were invisible.

Nilijua Gravern atatufikisha salama,. Unaona mtu kama huyu ni shabiki wa LFC lkn humo humo ndani kuna ambavyo havipendi na anatamani viharibike aje aseme nilisema.

‘TUISHI NAO VIVYO HIVYO MKUU’

Ynwa’
Ila kiukweli mimi Slot wenu bado sijamkubali
 
Finger crossed

Vvd, Macca, Salah hawa jamaa injury zao zitatuathiri pakubwa sana, my concern ipo kwa hawa jamaa, kule LCB kwa sasa hakuna anayeweza kumudu vizuri kama Vvd kwa tulionao, labda Konate & Gomez, but they are nowhere near Vvd excellence.

Ynwa’
Gomez😷😷

Tutapigwa nyingi mnoooo
 
Si kuwatoa thamani hao wajerumani wawili, ila kuna fixture ngumu ni hizi kwangu:-

Vs Chelsea
Vs Arsenal
Vs Villa
Vs Madrid
Vs City
Vs S’ton

Tough Tough matches, hao wengine its going to be tough too, ila hauwezi fananisha na hao hapo juu. Hawa S’ton wana good football kwa sasa, plus mrundikano wa Mechi utarahisisha game kwao, back to back games wanaweza kutukuta kwenye fatigue plus some injuries (God forbid).

Hapo ni suala la injuries tu, ila kuna mechi naona tukitoka salama, hao Londonese wawili kuna mmoja atakuwa mbishi sana.

Ynwa’
haswaa huyu Aseno namuwaza sana, kocha wao ni mzuri wa kusoma mbinu za wapinzani wake
 
Back
Top Bottom