Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bald from Brazil alipiga CB ya kati na Matip game vs Bayern at Anfield ikaenda 0-0, ile siku jamaa alichafua sana. He dealt with Lewandowski perpendicular
emoji1487.png
emoji1487.png


Mwanzo hata Klopp aliamini watatufikisha somewhere, ile final vs Madrid 3-1, akaona hapana hapa najidanganya, maamuzi magumu yalifanyika na msimu uliofuata tukabeba CL.

Baada ya hapo akaendelea kuwaondoa mmoja mmoja mpaka akapata wanajeshi wake.

Ujue huu mpira unatia upofu, ni zaidi ya mapenzi, unaona hapa hii timu itabeba makombe, ila kiuhalisia ni mapenzi yamezidi kiasi hauoni weakness.

Kumbuka line up yetu vs Madrid 2014/2015
emoji81.png
emoji81.png
pale nilijionea tu hakuna kushinda, ni miongoni mwa mechi niliona kufungwa kupo nje nje.

Watu wana prime Cr7, Benzema, Kroos, Modric, Sisi tuna Sterling, Balloteli, Allen, Glen Jonhson, hii ni quality vs quantity.

Klopp will be remembered always

Know You Can’
Ynwa’
Yaaani ile gemu ya 2014 vs Madrid well we were there for a beating lakini Rodgers did a grave mistake to overlook departing Gerrard... Gerrard was stone faced yaani macho yalimtoka.. Gerrard was born for UCL night and he cherished those games sanaaaa lakin the amateur gaffer back then had other id eas...

Then came Klopp fainali kdhaa tukafika

YNWA
 
Elliot as RCM ni mzuri sana hasa mechi ikiwa na intensity. RW kivuli cha Salah kinamuogopesha sana, but RCM ni mzuri, even as 10 he can deliver there vizuri

Ynwa’
Elliot na Jones wanachangamoto sana kwenye consistency guess comes with age sometimes maana namtazama pia Foden na Bellingham msimu huu mpaka sasa hawaja kliki aisee... Jones anapenda mno kutembea na mpira na mbio hana akipokonywa tu he won't recover na hapo ndio anatuumiza..
Elliot ni workaholic aisee..namuona akifit sana mfumo wa Slot.

YNWA
 
View attachment 822971
Full name: Liverpool Football Club

Nickname(s): The Reds

Founded: 3 June 1892

League: Premier League

Website: LiverpoolFC.com


View attachment 822972
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m


View attachment 822990
Principal Owner: John W. Henry

View attachment 822995
Chairman: Tom Werner

View attachment 823004
Manager: Jürgen Norbert Klopp
Liverpool Trophies:
League Tittles: 19

Premier League Champions: 19 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90, 2019/2020)

European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6 (1976/77, 1977/78, 1980/81, 1983/84, 2004/05, 2018/19)
UEFA Europa League: 3 (1972/73, 1975/76, 2000/01)
UEFA Super Cup: 4 (1977, 2001, 2005, 2019)

FIFA Club World Cup: 1 (2019)

FA Cup Trophies: 8 (1965, 1974, 1986, 1989, 1992, 2001, 2006, 2022)

League Cup: 9 (1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12, 2021/22)

Community Shield: 16
FA Community Shield: 2 (2001, 2006)
FA Charity Cup: 13 (1964, 1965, 1966, 1974, 1976, 1977, 1979, 1980, 1982, 1986, 1988, 1989, 1990)
Sheriff of London Charity Shield: 1 (1906)

Other Trophies:
Second Division: 4 (1893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62)
Lancashire League: 1 (1892/93)
Football League Super Cup: 1 (1985–86)

View attachment 1115544
Liverpool Football Club celebrate as they Crowned Champions League Winners (2019/2020)

View attachment 1542917
Liverpool Football Club celebrate as they Crowned EPL Winners (2018/19)

View attachment 2682750
Liverpool Premier League Timetable of 2023/24
Follow this thread for team updates!
Tupo tayari kushenyenta mtu
 
Yaaani ile gemu ya 2014 vs Madrid well we were there for a beating lakini Rodgers did a grave mistake to overlook departing Gerrard... Gerrard was stone faced yaani macho yalimtoka.. Gerrard was born for UCL night and he cherished those games sanaaaa lakin the amateur gaffer back then had other id eas...

Then came Klopp fainali kdhaa tukafika

YNWA

“Unforgiven moment”


Ynwa
 
Elliot na Jones wanachangamoto sana kwenye consistency guess comes with age sometimes maana namtazama pia Foden na Bellingham msimu huu mpaka sasa hawaja kliki aisee... Jones anapenda mno kutembea na mpira na mbio hana akipokonywa tu he won't recover na hapo ndio anatuumiza..
Elliot ni workaholic aisee..namuona akifit sana mfumo wa Slot.

YNWA

Jones usimpe 90’ every game, just watch his form then give him game time atakupa chochote.

Ni mzuri mno akiwa na mpira mguuni, haogopi hata acheze na nani always he has that confidence.

Akiwa na mali hata akiwa katikati ya Rodri na Gundogan na Kovacis yeye hawazi atataka kufanya unique moment, akipoteza and within a second apewe atafanya yale yale. Ni Mr. confidence technical player with inconsistency.

I cant wait to see Elliot back. 24th November Jota, Elliot, AB1 and Chiesa wote wanarudi. Its a right time.

Ynwa’
 
NGE

Oliver Ngoma


Mobi mobi

Usa monige wandi

Kadi mutu

Niu tsola mumu

Murim′andi u bongu kale

Ni sa u mone dia bini

Mobi mobi

Usa monige wandi

Kadi mutu

Niu tsola mumu

Murim'andi u bongu kale

Ni sa u mone dia bini

Bi uva lunge

Mo u mbonissi yindzi yagu

Murim′ami witse uka u li

Nge ni... va lunge

Mbonissi yindzi yagu

Nessi... o ndossi...

Ka ni yaba ti ilumbu

Niu u mone vo niangu

Mine mange

Mognu u ndzuemine

Mine toge

Na dugelu duogu

Mine mange

Mognu u ndzuemine

Mognu une

U wale na mabasse

Buronde na balumi ba Ngane

Bu sa niendzi bambatsi

Mine mange

U daga wa balumi b'ogu

Mognu une

Nge ni... va lunge

Mbonissi yindzi yagu

Nessi... o ndossi

Ka ni yaba ti ilumbu

Niu u mone vo niangu

Nessi kumi di mivu

Niu u lunga na ivuvu

A ivuvu be yine

Yiu mbega mognu

Ilumbu be ine

Passi tsiami tsiu mane

Tsi ndzungu tsi murime

Tsiu beluge

Mine ma utsola wa

Mirime mi bambatsi

A wa murime

Ni ka lunge

Nine ma...

Nessi kumi di mivu

Niu u lunga na ivuvu

A ivuvu be yine

Yiu mbega mognu

Ilumbu be ine

Passi tsiami tsiu mane

Tsi ndzungu tsi murime
 
Back
Top Bottom