Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu inahitaji 👇
  • Centre forward
  • Defensive Midfielder
  • Left Back
  • Right Back

Matajiri waache upuuzi wasajili wachezaji kwenye hayo maeneo kwasasa yapo wazi kama tunacheza pungufu.
 
Against City sioni mkifungwa, mnacheza speed vizuri na hamhofii kushambulia wakati city ukimfanyia hivyo analegea
 
Back
Top Bottom