Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

QUESTIONS;

Who is your favorite LFC player of all time?

Who is your favorite LFC player currently?

Who is the most underrated LFC player in our current squad?

Who is the most overrated LFC player in our current squad?

The player you hate the most?
1. Bruce Globellar
2. Alex McAllister
3. Sobo
4. xx
5. xx
 
View attachment 3253102
Success has many fathers🎈🎈🎈🎈♥️♥️♦️🟥🔴🔺️🔻
Smart transition to Slot

I am still skeptical of his long term success because he is wearing kaizer’s shoes

But I will him all thr best

He came to a very strong team with a super culture and foundatikn

May we win thr leagues this season…. Ilo niende kushangaa new trophy in person
 
Hivi hawa kweli hawakuwa na mchango Diet hamman na mascherano!
Teh teh teh! Ulipowataja hawa nimemkumbuka babu McAllister, alitubeba sana miaka ya 2000 mwanzoni hasa kwenye kombe la Washindi la Ulaya-Europa Cup. Nafikiri alitokea Coventry ana asili ya Ireland.
 
Teh teh teh! Ulipowataja hawa nimemkumbuka babu McAllister, alitubeba sana miaka ya 2000 mwanzoni hasa kwenye kombe la Washindi la Ulaya-Europa Cup. Nafikiri alitokea Coventry ana asili ya Ireland.
Usimtaje huyo mtu mapenzi yake ni kama milner alikuja umri umekwenda alikua ana mwambia mjukuu wake Owen wewe nyosha mkono niuone ulipo nikusogezee ball utie kunyavu!
Sasa kwanini usimkumbuke danny murphy kiungo punda!
 
Tukiwa tunajiandaa kupokea Guard of Honour kutoka kwa Arsenal hebu tujikumbushe baadhi ya Vichekesho vilivyowahi kutokea for the past 5 years.

1. Mane ndiye anayeibeba Liverpool na sio MO Salah.

2. MO Salah auzwe tuna Xaqiri wa kuziba nafasi yake ni bora kuliko Salah.

3. Mshabiki wa Arsenal walijazana ujinga na kuaminishana kuwa SAKA ni bora kuliko Salah na wakafikia kuamini kuwa Saka ni best Winger in the World.

4. Origi ni bonge la Striker

5. Jota hawezi kukosa goli kizembe asipokuwpo Timu inayumba.

6. Ongeza na wewe .........
aisee nilikuwa nachukizwa sana na wajinga ambao walikuwa wanang'ang'ana eti "mane anaibeba liverpool na sio salah" shenzi kabisa mnamjua egyptian king au wanamwona kwenye magazeti na tiktok.
 
Tukiwa tunajiandaa kupokea Guard of Honour kutoka kwa Arsenal hebu tujikumbushe baadhi ya Vichekesho vilivyowahi kutokea for the past 5 years.

1. Mane ndiye anayeibeba Liverpool na sio MO Salah.

2. MO Salah auzwe tuna Xaqiri wa kuziba nafasi yake ni bora kuliko Salah.

3. Mshabiki wa Arsenal walijazana ujinga na kuaminishana kuwa SAKA ni bora kuliko Salah na wakafikia kuamini kuwa Saka ni best Winger in the World.

4. Origi ni bonge la Striker

5. Jota hawezi kukosa goli kizembe asipokuwpo Timu inayumba.

6. Ongeza na wewe .........
5...ahaaahaaa ilikua ni wingi wa nafasi tulizo tengeneza game ya man u last season na kukosekana kwa jota iyo game. Sio kwamba timu inayumba asipokuwepo ilikua issue ya best finisher na nafasi za kufunga kwa iyo game.
 
Back
Top Bottom