Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Kheee kumbeThe gono wanaumia sanaaa
Tunampiga 4 sasa kama hamuamini ngoja muone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheee kumbeThe gono wanaumia sanaaa
Tunampiga 4 sasa kama hamuamini ngoja muone
Jitokeze sasaNaifatilia hii mechi
Ngap ngap sasaTumesha waweza hawa ha ha haaaa. Kocha wao anatikisa kicwa tu dah
La tatu au sioNakuona hapo kwenye kona umetulia, mi nipo hapa mbele nasubiri salah afunge la tatu mpira uishe
Ngoja wapate goli watarudi kwa kasi ya rocketWepesi mno hawa
Upo sahihiHawajiamini unaona hata kocha wao kaanza kuchanganyikiwa
Yamekimbia haya Marasi simbakimyaaaaaaaaaaaa .... utafikiri siyo thread yenu. hapo ndo msahau sasa hatutoki kileleni ng'o!
Kwenye iyo timu uliyoipanga crouch hakuwemoKocha angepanga hivi leo tungeshinda 5
1. Jerzy Dudek (Kipa)
2. Steve Finnan (Beki wa Kulia)
3. Jamie Carragher (Beki wa Kati)
4. Sami Hyypiä (Beki wa Kati)
5. John Arne Riise (Beki wa Kushoto)
6. Xabi Alonso (Kiungo wa Kati)
7. Steven Gerrard (Kiungo wa Kati – Kapteni)
8. Luis García (Kiungo wa Kati/ Mashambulizi)
9. Harry Kewell (Kiungo wa Kushoto)
10. Milan Baroš (Mshambuliaji)
11. Peter Crouch (Mshambuliaji)
Bdo upo?Hii Liverpool ya leo ni sawa na Blackpool au Wigan
😝😝😝🙌Leo tunawapiga Psg kama ngoma 😝😝
Takwimu zinaongeaSpiki inglishi mpo wap
Wameruka rukaaa,ila ubao unaongea 😝Kumbe mechi ngumu Huwa mnapotea hivi
na wewe usikimbie njoo tuyajadili hapa matokeoSaint Anne mpo wapi mchawi kalaba