John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Asante sana psg zile kelele za imagine being an ass😂 hatutarajii kuzisikia.....hamna hamna Newcastle nao wanawakazia fainali 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana nawe mkuu kwa hili la homa ya vipindi lakini..je kwa huu mchango wake mdogo hatumpi haki msimu wa ligi kuu pekee bila kuhusisha mazhindano mengine 20/21 mechi 19 goli 9...msimu wa 21/22 mechi 35 goli 15..msimu 22/23 mechi 22 goli 7...msimu 23/24 mechi 21 goli 10..msimu 24/25 goli 5...bado mechi zinaendelea je bado hapo hana mchango na hiyo gari gereji ...gari barabarani!
Sasa mpira hauko hivyo.Barca ni timu yangu ya pili kushabikia ila upande waliopo Uefa ni dhaifu sana, labda itokee wakutane na Real madrid fainali ndo tutabeba ila tofaut na hapo siioni ikibeba kombe,
We mwenyewe fikiria 16 bora kacheza na Benfica, Robo fainali anacheza na mshindi wa leo tufanye apite dortmund...bado hizo timu sio giants hatumii nguvu nyingi kuzitoa, upande uliopo utamlemaza,
Psg kaanza kuexperience game ngumu tangu 16 bora wakat huo game ngumu ya Barca inaweza kuwa labda ndo ya fainali maana hata Semi final akikutana na Bayern au Inter wote hao hawawezi kumpa ushindani mkubwa kiivyo Barcelona.
Unao na hawa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nuno Mendez kabla ya game kuanza alimwambia Salah " You will never walk alone"
Halafu ukiachana na Vitinha kuna tactician wa kuitwa Luis Fabian huyu jamaa ni mido haswa ni underrated player ila ndio engine ya Psg.
Inategemea na jinsi wewe unatafsiri neno bahati.Mkuu huamini uwepo wa Mungu ila cha ajabu una amini mambo ya Bahati?
Awapi mi mbona oldtrashford tangu kitambo.Eh 🤣 unahama timu tu bruv
Arsenal ni maji kupwa maji kujaaHuyo aliyeandika hivyo ni mwana liverpool, nafikiri labda alikuwa overwhelmed by emotions.
Huyo Arsenal angekutana na PSG hii tungeona mpira tofauti kabisa
Ukiona penalty zimefika golini yupo AllisonNilitamani liverpool asonge mbele japo si shabiki wao. PSG walikuwa na character nzuri, hata hivyo lazima uwe serious Ili kumfunga donnaruma Penalty, kwanza ni mrefu halafu ni mjanja sana kwenye kusoma, Penalties nyingi za chini anaweza kudaka.
Kaka yake The MoNAMimi simlaumu Jota kwa lolote katika mchezo wa jana ila niseme tu ukweli HAKUNA MSIMU HATA MMOJA AMBAO JOTA KAIBEBA LIVERPOOL.
Huo msimu haupo! Jota ni homa za vipindi tu kuna mechi 4 au 5 anaibuka halafu anapotea mechi 15.
Ingawa ukisema INCONSISTENCY ya Jota hapa tunaletewa useless Takwimu eti tunaambiwa Jota ni Clinical Finisher! Labda awe Clinical Medicine ila sio kwenye mpira.
Wewe kombe lako msimu huu ni kucheka Liverpool na kwenda EuropaSema nilikua nacheka sana nikiingia humu nakutana na watu wanawaza treble 😄
"Treble incoming"
😄😄😄😄 Kwa liverpool hii? Hebu tuweni serious basi.
Nye kuku broiler niliwaambia mtapigwa na paris mchakae haya kiko wapiJao neves --vitinya----fabian
Kwa sasa duniani hakuna mido km.hiyo
Huyo jao neves ni homa ya dunia anakaba ad kivuli 🤣🤣
Kwaheri kuku broiler
2021/2022 Liverpool mbovu kabsa hiyo. Liverpool tulikua 2017/2018-2018/2019 hii Misimu miwili tulisumbua sana Ulaya nzima ilikua inaogopa kukutana Liver ANFIELD hatari yake pale mbele Salah, Mane & Frimino nyuma yake unakuta winjaldim/Keita na Fabinho aisee.. moto wake siyo Poa.Liverpool ya kuchukua treble ilikuwa ni hii..👇View attachment 3267535
Hii ingeweza kuchukua hata makombe yote manne, sema walikuwa wana bahati mbaya ya kukutana real madrid baba mwenye nyumba wa UCL, na pia huku EPL walikuwa wana compete na man city..
...kwanza hakuna timu ambayo iliweza kuwa outplay anfield kama alichokifanya PSG jana... nakumbuka hata kwenye EPL baada ya kudroo na chelsea mwezi january wakaja kudondosha point dhidi ya city mwezi April kwenye mechi ambayo iliamua hatima ya ubingwa, kwenye mzunguko wa pili hawakupoteza mechi.
Sidhani kama Liverpool watakuja kupata timu yenye ubora ule 21/22 kwa hii miaka ya karibuni hapa... hii ya sasa ni merely above average wala hata sio tishio, angali hata jinsi walivyoteska dhidi ya United hii mbovu, angalia wakikutana na timu imara kama Nottingham wanavyohaha... hii hata Arsenal hawawezi kutufunga si tuko hapa.
Kilichofanya hii liverpool iwe hapo ilipo na kuwadanganya pundits wengi kuwa ndio timu bora kwa sasa ni inconsistency ya Arsenal ambayo imetokana na game approaches mbovu za Arteta, ila kimsingi Liverpool alipaswa kuwa nafasi ya pili akitofautiana kidogo na Arsenal.... nimemaliza.
Backline tu ndiyo ilianza Jana lakini kwa viungo Kuna mabadiliko ukija kwenye ushambuliaji winga ile ya Napoli Kvaratskheli haikuwepo pamoja na dembele ambao kwa jana ndiyo walisumbua sana. Hao tu naamini wangetosha kuwapa arsenal kipigo kitakatifu.Watoto wapi hao walicheza siku hiyo? Hiyo backline iliyocheza jana yote ilikuwepo siku hiyo... kuna nani ambaye hakuwepo tofauti na Dembele?
Ulivyo andika inaonyesha ni kama unashangaa unaona ni ajabu ? Timu kufungwa na timu ya play-off? Vitu ambavyo havihusiani kabsa.Kwani nimeandika kuwa ni ajabu?
Punguza presha mkuu 😄😄
Umewangalia Intermilan? Jamaa Wana ushindani mzuri sana labda kwa Bayern ndiyo naona Hawa ushindani kwenye haya mashindanoBarca ni timu yangu ya pili kushabikia ila upande waliopo Uefa ni dhaifu sana, labda itokee wakutane na Real madrid fainali ndo tutabeba ila tofaut na hapo siioni ikibeba kombe,
We mwenyewe fikiria 16 bora kacheza na Benfica, Robo fainali anacheza na mshindi wa leo tufanye apite dortmund...bado hizo timu sio giants hatumii nguvu nyingi kuzitoa, upande uliopo utamlemaza,
Psg kaanza kuexperience game ngumu tangu 16 bora wakat huo game ngumu ya Barca inaweza kuwa labda ndo ya fainali maana hata Semi final akikutana na Bayern au Inter wote hao hawawezi kumpa ushindani mkubwa kiivyo Barcelona.
Tatizo ulifanya hitimisho kwa kutumia hoja dhaifu sana😀, baki na amani mkuu.Yaani Facts ya Arsenal kumfunga PSG unaita mawazo yangu? Aisee wewe ni mtu wa kwanza kumshuhudia hajui tofauti ya FACTS v/s OPINIONS