2021/2022 Liverpool mbovu kabsa hiyo. Liverpool tulikua 2017/2018-2018/2019 hii Misimu miwili tulisumbua sana Ulaya nzima ilikua inaogopa kukutana Liver ANFIELD hatari yake pale mbele Salah, Mane & Frimino nyuma yake unakuta winjaldim/Keita na Fabinho aisee.. moto wake siyo Poa.
2021/2022 tulikua tumeisha jichokea wachezaji wengi wakina Firmino wameisha kabsa wanasumbulia na majereha wakina Thiago hapo tulikua tunaonyesha ushindani lakini siyo kama msimu wa 2018.
Kwa saivi pale tunahitaji tu'reform kikosi kuanza kuwapunguza wazee kama saivi City anavyo fanya vinginevyo misimu miwili ijayo tuteseka sana.