Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?
Nakukumbusha tu ukiwa kama shabiki wa Arsenal, May 10, Mkiwa kama Big club mtarudia kufanya hivi tena kwa Liverpool tena kwa wakati huu mtaifanya hii mkiwa Anfield.
FB_IMG_17417944350395292.jpeg
 
YEs......Tumetolewa na PSG, Cha kushangaza wanao tupigia kelele humu ni Arsenal Fans, Seriously ArsenalFc ???, Unaweza kusema they have any pedigree in Europe. Inashangaza sana .
FB_IMG_17417962567159389.jpeg
 

Attachments

  • FB_IMG_17417954668449067.jpeg
    FB_IMG_17417954668449067.jpeg
    191 KB · Views: 1
YEs......Tumetolewa na PSG, Cha kushangaza wanao tupigia kelele humu ni Arsenal Fans, Seriously ArsenalFc ???, Unaweza kusema they have any pedigree in Europe. Inashangaza sana .View attachment 3268056
Tunatania tu kidogo unajua kabisa. Sisi wabaya wetu ni Manyumbu na Mamacita na akina Chelkenge. Nyie kwetu washikaji tu ila hatuwezi kuwaacha bila kuwacheka kidogo.

Nakumbuka Mamacita alipigwa, halafu mimi nikawa nacheza na West Ham. Nikasema nisubiri nimpige kwanza West Ham ndiyo niende jukwaa la C115y kusaga kunguni... kilichotokea kila mtu anajua.

Ndiyo maana tunawachemsha kidogo chap chap kabla sisi hatujacheza. Mpira ndivyo ulivyo wa ajabu.
 
Siku zote tulikuwa deluded fans tupo very hyped untill PSG came and exposed us.

Siongelei kuwa eliminated kwenye UCL cuz I know how football work but the problem is how we've need knocked out! It was embarrassment kwenye both two legs.

Hivyo FSG wachague moja! Building a competitive Team or tusubiri miujiza ya Man City awe mbovu tena next season (I'm praying for it).
 
Kipa mpaka awe pazia kila ukishoot imo whether ni penalty au sio penalty ...Alison kaokoa michomo sana leg iliyopita km angekuwa pazia msingefika matuta😁
Haizuii ukweli kwamba kwenye penati hana chochote

Ni kama alivyokuwa Mendy pale Chelsea
Golikipa mzuri sana mechi ikishaenda matuta hadaki hata Moja.

Niwekee hapa mechi ambazo Allison alidaka mikwaju ya penati.
 
Yule mzee wa kutafuta mchezaji wa kueleweka, huku hatiagi maguu? au huku ndio wachezaji wote hawaeleweki.
 
Haizuii ukweli kwamba kwenye penati hana chochote

Ni kama alivyokuwa Mendy pale Chelsea
Golikipa mzuri sana mechi ikishaenda matuta hadaki hata Moja.

Niwekee hapa mechi ambazo Allison alidaka mikwaju ya penati.
Ndo useme Sasa sio mzuri kwenye penalty na sio kauli ya pazia...by the way kama sikosei Kuna michomo ya penalty alishawahi kuitoa km sikosei
 
Ndo useme Sasa sio mzuri kwenye penalty na sio kauli ya pazia...by the way kama sikosei Kuna michomo ya penalty alishawahi kuitoa km sikosei
Wewe pazia kwenye penati umeelewaje Mkuu?
Maana yake hawezi kudaka
Na ndicho nilichoeleza Toka mwanzo.
Complain yako hapa ni ipi?
 
Backline tu ndiyo ilianza Jana lakini kwa viungo Kuna mabadiliko ukija kwenye ushambuliaji winga ile ya Napoli Kvaratskheli haikuwepo pamoja na dembele ambao kwa jana ndiyo walisumbua sana. Hao tu naamini wangetosha kuwapa arsenal kipigo kitakatifu.
Unaongea kama mtu asiyejua mpira, haya hata kwa upande wa Arsenal Odegard hakuwepo mantiki yako iko wapi sasa mpaka hapo?

Halafu hizi habari za "angekuwepo fulani mechi ingekuwa hivi...mara tumefungwa kwa sababu fulani hakuwepo".. Morinho alishasema ni sababu za kipuuzi sana, kikosi kina wachezaji 27 tafsiri yake asipokuwepo huyu basi yule atacheza kwenye nafasi yake, sasa malalamiko kama hayo ya kutokuwepo kwa mchezaji fulani ni ya nini? Kwani walicheza pungufu uwanjani kwa sababu hao akina Dembele hawakuwepo au?

Sasa hao wachezaji wa akiba wanalipwa mishaara ya nini kama bado hawapewi nafasi kwenye mechi muhimu?
Huwa simpendi Morinho lakini hapa aliongea point sana...
 
2021/2022 Liverpool mbovu kabsa hiyo. Liverpool tulikua 2017/2018-2018/2019 hii Misimu miwili tulisumbua sana Ulaya nzima ilikua inaogopa kukutana Liver ANFIELD hatari yake pale mbele Salah, Mane & Frimino nyuma yake unakuta winjaldim/Keita na Fabinho aisee.. moto wake siyo Poa.

2021/2022 tulikua tumeisha jichokea wachezaji wengi wakina Firmino wameisha kabsa wanasumbulia na majereha wakina Thiago hapo tulikua tunaonyesha ushindani lakini siyo kama msimu wa 2018.

Kwa saivi pale tunahitaji tu'reform kikosi kuanza kuwapunguza wazee kama saivi City anavyo fanya vinginevyo misimu miwili ijayo tuteseka sana.
Itakuwa umesimuliwa tu wewe hukuiona Liverpool hiyo ninayoiongelea mimi.

Msimu wa 2021/2022 Liverpool ili close gap la point 13 dhidi ya City na kubakiza alama moja tu ambayo ndio ilimpa City ubingwa...

Msimu huo Liverpool baada ya kudroo na Chelsea 3/january hawakudondosha tena alama mpaka walivyokuja kukutana City mwezi April.

Msimu huo Liverpool alicheza fainali ya Carabao na FA na zote akashinda.

Msimu huo Liverpool alishinda mechi zote za UCL kuanzia hatua ya makundi alikuja kufungwa fainali tu na real madrid.

Msimu huo Liverpool alicheza mechi zote za mashindano ambazo club ya England inapaswa kucheza, Van Dijk tu peke yake alicheza mechi 52.

Halafu wewe unakuja kusema eti hiyo liverpool ilikuwa mbovu? Aisee labda kama unaongea msimu wa nyuma yake au ule uliofuata baada ya huu nnaousema mimi.
 
Back
Top Bottom