Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

.......#mburukenge wapi leo?
Mnashabikia Liverpool kwa msimu ee?

Daaaaadddeki, kimyaaaaa!
Naa bado, keep on walking alone buddies

Moskwito, madogo hawana adabu kabisa. Mashetani yanakuja kwa kasi ya kutisha. Liva majanga, Simba majanga ngoja niweke kambi Bayern.
 
liverpool_fc_by_josephlee.jpg

Liverpool, kama kawa. Soda iliyofunguliwa na kukaa mezani muda mrefu bila kunywewa na sasa gesi imekwisha. Wao wanafikiri kuifunga Man Utd. ndio ushindi/ubingwa. Wanaanzaga kwa kelele nyiiiiiiiingi mwanzoni, when it counts the most wako nyuma ya bingwa wa ligi point 30+, kila mwaka, yale yaleeeeeeeeee! ndiyo maana nobody important wants to go there.
 
Wazee wa 8th wanaongea sasa kabishaneni na newcastle.
 
article-2483684-1927258000000578-617_634x435.jpg

Claiming: Daniel Sturridge looks despairingly at the referee
after being turned down for a penalty

article-2483684-19273E7E00000578-522_634x379.jpg

Slack: Kolo Toure didn't close down Ramsey
quick enough and Liverpool paid the price

article-2483684-192744E900000578-322_634x517.jpg

Disappointed: Luis Suarez puts his hands up to pray
after Liverpool squander another chance

Msijali sana wakuu bado mna timu nzuri kuliko Wauza unga wa darajani, khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mmekutana na kisiki tu leo ..... ..... kazeni buti next game .... ...
 
Arsenal-v-Liverpool-Steven-Gerrard_3029404.jpg

Wakuu chacha tuuzieni Sure boy angalau acheze CL mwakani
hasa mkitupatia kwenye January window then huo mpunga mnunue wachezaji wawili ... .... .... . Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Suarez-and-Wenger-009.jpg

Brendan Rodgers described Arsenal's bid £40,000,001
summer bid for Luis Suárez as 'derisory'.
 
Wakuu chacha tuuzieni Sure boy angalau acheze CL mwakani
hasa mkitupatia kwenye January window then huo mpunga mnunue wachezaji wawili ... .... .... . Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
[/CENTER]
Chelsea walimlilia El nino hivyo hivyo. Alivyotoka tu, kageuka kiangazi.
 
Poleni sana,naona Rodgers ameanza kufuata nyayo za Kenny Daglish.Yale maneno Ferguson alisema Gerrard is not a top player mmeanza kuyakubali sasa
 
Leo wachezaji wa LFC nawapa wote Zero mark Kasoro Coutinho na Skertel hili nifundisho kwamba sie bado sana kwenye neno ubingwa tunatizama Top 4. Lazima Middle zinunuliwe SG asugue bench Wenger amekaa nao wale watoto kwa muda mrefu alichoongeza ni ujuzi Kama Ozil! Tusife tamaa mapema Rogers namuaminia.

Ndiyo maana Ferguson alimponda Gerrard kwenye kitabu chake,Paul Scholes akiwa na age ya SG still alikuwa ana kiwango bora sana kuliko SG nafikiri hicho ndicho SAF alikuwa anamaanisha watu hamkumuelewa.Jana alikuwa anakimbizwa na Ramsey
 
. hapo Belo kuna ukweli na si ukweli unajuwa Paul Scholes kufanya vizuri umri ule sababu ni alikuwa anapewa mapumziko anakaa sana bench wengine wanacheza sababu timu ipo kwahiyo anapata unafuu wa kufanya vizuri bila kucheka sasa Huyu SG kila saa anachezeshwa usitegemee atafanya vizuri kila game SG kuhusu ni top player ipo pale pale wanamuuwa na yeye kujiumiza kwa kungangania kucheza walete middle tizama United middle zinabadilishana kwa kupumzika Chelsea pia Kasoro City na Yaya Toure na ndomana Yaya Toure akichoka piga uwa City anafungwa Sir Alex Kasema ukweli kwenye Handerson na Kenny tu.
 
yaan mpaka leo 2013 tuko na gerard! huyu jamaa anachezea mpira historia tu but hamna kitu kabixa. enrique wetu arudi sakho aekwe nje hafai, luis alberto awekwe ndan
 
yaan mpaka leo 2013 tuko na gerard! huyu jamaa anachezea mpira historia tu but hamna kitu kabixa. enrique wetu arudi sakho aekwe nje hafai, luis alberto awekwe ndan
Nafikiri umetaka kusema cisokho na sio Sakho nafikiri Sakho ni good ila awache kurukia atakuja kupata Red Card kirahisi, Mie kuhusu SG kutaka akae bench sio sababu mbovu anahitaji mapumziko akirudi awe na Nguvu nzuri anachoka anacheza nafasi za watu watatu.... Usitegemee kila siku ataweza. luis alberto na Allen waanze then January tuombe zile middle zenye akili na Nguvu. Lazima tuwe na listi ambayo bench nalo Kali LFC Hilo ndio hatuna, ndomana nikasema LFC hatuna bench ila tunafanya vizuri ni kuongeza Nguvu tu hasa Middle pale. Rogers asiogope media na na fans weka Bench SG iwe Masada kwake SG na Timu.
 
Moskwito, madogo hawana adabu kabisa. Mashetani yanakuja kwa kasi ya kutisha. Liva majanga, Simba majanga ngoja niweke kambi Bayern.

Wewe kweli unazeeka! Tena unazeeka kama kile kizee cha manu... Yaani kufungwa mara moja ndo yamekuwa hayo?! Pole sana
 
Ndiyo maana Ferguson alimponda Gerrard kwenye kitabu chake,Paul Scholes akiwa na age ya SG still alikuwa ana kiwango bora sana kuliko SG nafikiri hicho ndicho SAF alikuwa anamaanisha watu hamkumuelewa.Jana alikuwa anakimbizwa na Ramsey
Mnaomwabudu huyo saf na kumeza kila anachotapika ni nyie. Kama SG hakuwa top top player inamhusu nini?! Kwa nini amuongelee mchezaji ambaye hakuchezea timu yake na wala siyo top?! Na huyo scholes mnayeibua sasa aliisaidia nini England?! Mnataka kudanganya kuwa wachezaji wazuri hawazeeki/kuchoka?! Nani asiyejua kuwa kuna vitu vingi vinavyochangia na kuamua mchezaji atachoka akiwa na umri gani??? Lkn ndo kawaida yenu na longolongo zenu.
 
Punainen upo? liverpoolfc wanaonea charaza Fulham. Liverpoolfc YNWA!.
 
Back
Top Bottom