Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

TMkiwa na moto huu, jukwaa la sports litanoga sana kama kina Wacha1, Ntuzu, Mentor, Balantanda, Peasant, pierre.fm . Fm Nzi, Belo, Shedafa, mfarisayo, TIMING, EMT, na wengineo wengi wanavyopeana banters za hapa na pale!

Ila Mkuu hapo nyuma ilikuwa aibu kidogo kama ukisema kuwa ni mshabiki wa Liverpool. Hata hivyo, institutionally, Liverpool Football Club ni kubwa sana

Halafu kama umeangalia mashabiki wengi wa Liverpool ni wa zamani, I mean ni wa enzi zile wakati Liverpool ilikiwa inatikisa kwenye ligi na champions league.

Ni vijana wachache sana wa kizazi hiki cha dotkom wanaisapoti Liverpool b'se wamebalee wakati liver wakiwa hawasikiki.

But I like those old Liverpool supporters, pamoja na kwamba walikatishwa tamaa, there have always been there.

Personally, I am glad msimu huu Liverpool is out there. Wamefanya ligi imekuwa interesting and competitive.

Kuna shabiki mmoja wa liver aka mi_mdau alianzisha uzi humu akidai kuwa sababu ya liverpool kufanya vibaya ni Ferguson and David Gill; kwamba Man walikuwa wakibebwa. Could this be true? https://www.jamiiforums.com/sports/346069-sababu-ya-man-utd-kubebwa-hii-hapa.html
 
Last edited by a moderator:
Hater humu wanaanza kutafuta mada wengine za kuongea haijui kutoa pongezi za ushindi hata siku moja endeleeni kuchungulia mtapona kisukari.
 
Make us dream!!!!
hawa wajinga walituibia Soldado, Eriksen na Willian.
Wachapwe 5 nyingine leo.
Make us dream, Liverpool! !
 
Back
Top Bottom