Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tungekuwa point 9 Mbele ningefurahia ile 2008 Benitez angekuwa habadili wachezaji kila saa ndio tungeshinda ubingwa ile ndio ilikuwa timu nzuri kushinda hii inaundwa tu si ya ubingwa kuna watu wanaenda timu miaka 7 sasa fikiria Hilo.Top of the league!!!!!!!!!!
Piere. Fm unajuwa katika timu naiheshimu na nilikuwa nawapa moyo na upendo ni Arsenal kuwapa Nguvu mashabiki wenu Thred. Sababu wapo wananizamu Kama wewe ila mara naanza kuona mnatujia na mdomo mchafu Mie sina chuki na Arsenal adui zangu ni United na siku hizi hata Hawana mdomo mchafu hutokuja kunisikia kuongelea timu za watu tena nitaongelea yetu tu na kuhusu Ozil sijamuongelea kwa ubaya jamaa nicole player ila anatakiwa kujikakamua hii ligi ngumu. Kinachonikera mkishinda tunawapa Hongera ila sie game ikiiisha hamji mnakuja na masa zengine Kabisa wakati nyie ndio mliokuwa mnasema ubingwa sio sisi so watu wa Humu wakose a ubingwa bora make kimya kuliko Kuwa mnafiki mtu.
Najua Piere. Fm wewe mtu wangu ila zote hizi Banter muda mwengine tungefungwa ungeona tumetoka mbio hehe inataka mtu uwe mbishi Kama Wacha1 na Nzi hehehehe nimechunguza kitu kimoja timu ikifungwa Thred nyingi zinakauka tena bora Arsenal hakukauki United walikuwa wakisema mashabiki wao sasa na wao kumeanza kukauka mpaka wameitoa ile hatushikiki!. Kufungwa kunauma tulifungwa mpaka ganzi za moyo zilizowea wacha tufurahi siku za kufurahi.Mkuu huwa napita mara moja moja kutoa pongezi mim sina fitina.
BTW pongezi nying ziwafikie majogoo but nying zaidi ziende kwa John Terry kwa kumziba Mouthrinho mdomo.
Najua Piere. Fm wewe mtu wangu ila zote hizi Banter muda mwengine tungefungwa ungeona tumetoka mbio hehe inataka mtu uwe mbishi Kama Wacha1 na Nzi hehehehe nimechunguza kitu kimoja timu ikifungwa Thred nyingi zinakauka tena bora Arsenal hakukauki United walikuwa wakisema mashabiki wao sasa na wao kumeanza kukauka mpaka wameitoa ile hatushikiki!. Kufungwa kunauma tulifungwa mpaka ganzi za moyo zilizowea wacha tufurahi siku za kufurahi.
Tumeshajizoelea maumivu toka 1990!
Kelele zitoke wapi? Hatujali kama timu yetu imekaa na itaendelea kukaa museum for the next 30 years. Once a kop always a kop.
Plastic fans ndio mna matatizo. Tumeshajizoelea maumivu since 1990 na tutaendelea kuyazoea hata kama ni miaka 100 ijayo
Ynwa
Hongereni lakini isije ikawa another one season wonder.. Ntawaombea mshinde tukimtoa Wigan.