Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Top of the league!!!!!!!!!!
Mkuu tungekuwa point 9 Mbele ningefurahia ile 2008 Benitez angekuwa habadili wachezaji kila saa ndio tungeshinda ubingwa ile ndio ilikuwa timu nzuri kushinda hii inaundwa tu si ya ubingwa kuna watu wanaenda timu miaka 7 sasa fikiria Hilo.
 
Piere. Fm unajuwa katika timu naiheshimu na nilikuwa nawapa moyo na upendo ni Arsenal kuwapa Nguvu mashabiki wenu Thred. Sababu wapo wananizamu Kama wewe ila mara naanza kuona mnatujia na mdomo mchafu Mie sina chuki na Arsenal adui zangu ni United na siku hizi hata Hawana mdomo mchafu hutokuja kunisikia kuongelea timu za watu tena nitaongelea yetu tu na kuhusu Ozil sijamuongelea kwa ubaya jamaa nicole player ila anatakiwa kujikakamua hii ligi ngumu. Kinachonikera mkishinda tunawapa Hongera ila sie game ikiiisha hamji mnakuja na masa zengine Kabisa wakati nyie ndio mliokuwa mnasema ubingwa sio sisi so watu wa Humu wakose a ubingwa bora make kimya kuliko Kuwa mnafiki mtu.

Mkuu huwa napita mara moja moja kutoa pongezi mim sina fitina.
BTW pongezi nying ziwafikie majogoo but nying zaidi ziende kwa John Terry kwa kumziba Mouthrinho mdomo.
 
watu wanaunda timu miaka 7 bila mafanikio so tujifunze mengi tuombe top 4 then mengine baadae. LFC YNWA!

Nakubaliana na wewe mkuu. Lengo letu ni top 4 if not 3. Kuongelea ubingwa ni mapema sana. Kuwa on top of the table sio hoja, tujifunze kwa Arsenal na Chelsea

1396199239670.jpg1396199264709.jpg
 
Mkuu huwa napita mara moja moja kutoa pongezi mim sina fitina.
BTW pongezi nying ziwafikie majogoo but nying zaidi ziende kwa John Terry kwa kumziba Mouthrinho mdomo.
Najua Piere. Fm wewe mtu wangu ila zote hizi Banter muda mwengine tungefungwa ungeona tumetoka mbio hehe inataka mtu uwe mbishi Kama Wacha1 na Nzi hehehehe nimechunguza kitu kimoja timu ikifungwa Thred nyingi zinakauka tena bora Arsenal hakukauki United walikuwa wakisema mashabiki wao sasa na wao kumeanza kukauka mpaka wameitoa ile hatushikiki!. Kufungwa kunauma tulifungwa mpaka ganzi za moyo zilizowea wacha tufurahi siku za kufurahi.
 
Pazi

Mkishinda mnakuwa mna kelele sana

Ila ushindi wenu wa leo umetusaidia sana sisi
 
Last edited by a moderator:
Sherrif
Pazi

Mkishinda mnakuwa mna kelele sana

Ila ushindi wenu wa leo umetusaidia sana sisi

Tumeshajizoelea maumivu toka 1990!
Kelele zitoke wapi?
Hatujali kama timu yetu imekaa na itaendelea kukaa museum for the next 30 years. Once a kop always a kop.
Wengine maumivu ya mwaka, miaka 7 yanawatesa.
Hapo ukizingatia sisi ni maskini na pesa hatuna wengine mpaka mmwage mapesa ama muwa-intimidate marefa ndio mshinde.
Plastic fans ndio mna matatizo. Tumeshajizoelea maumivu since 1990 na tutaendelea kuyazoea hata kama ni miaka 100 ijayo. Tuachieni chama letu. We know iko siku the old days of glory will once again come back to Anfield.
Sherrif Arpaio.....a long time proud Kop!
Ynwa
 
Last edited by a moderator:
Najua Piere. Fm wewe mtu wangu ila zote hizi Banter muda mwengine tungefungwa ungeona tumetoka mbio hehe inataka mtu uwe mbishi Kama Wacha1 na Nzi hehehehe nimechunguza kitu kimoja timu ikifungwa Thred nyingi zinakauka tena bora Arsenal hakukauki United walikuwa wakisema mashabiki wao sasa na wao kumeanza kukauka mpaka wameitoa ile hatushikiki!. Kufungwa kunauma tulifungwa mpaka ganzi za moyo zilizowea wacha tufurahi siku za kufurahi.

tehtehtehtehtehteh kuhusu kuitoa Man U hatushikiki angalia mkuu Nzi asikusikie tehtehtehteh
chezea kipigo wewe.
 
Excellent! Sweet! Well deserved..we march on to West Ham next..

I was so under pressure yaani acha tu, kabla ya mechi nadhani ningepata heart attack.

Keep on praying people.
 
Tumeshajizoelea maumivu toka 1990!
Kelele zitoke wapi? Hatujali kama timu yetu imekaa na itaendelea kukaa museum for the next 30 years. Once a kop always a kop.
Plastic fans ndio mna matatizo. Tumeshajizoelea maumivu since 1990 na tutaendelea kuyazoea hata kama ni miaka 100 ijayo
Ynwa

Hawa waache..mimi tangia nimezaliwa Liverpool haijawahi chukua ubingwa..alafu wanasema eti tuna kelele?

well, sasa kelele watapiga nani? si sisi mashabiki.

Everybody knows we deserve this trophy.
 
Hongereni lakini isije ikawa another one season wonder.. Ntawaombea mshinde tukimtoa Wigan.
 
Hongereni lakini isije ikawa another one season wonder.. Ntawaombea mshinde tukimtoa Wigan.

We don't care whether it's a one season wonder or not. Tushajizoelea maumivu since 1990.
We don't care whether it would take another 100 years for us to bring the EPL trophy to Anfield.
All we do care is the fact that we are so proud of our team.
We are so proud to be KOPS
 
Back
Top Bottom