Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha, ati "tuachieni chama letu!" 🙂

Mkuu, hawa jamaa wamenisumbua sana niongezee manjonjo kwenye hii sredi eti na picha niwawekee khaa!?

Haya bana, TIMING bado ka mute?!
YNWA

#MosKwito !

Duh aisee inabidi tuwe wapole yaani hii thread kama ingeanzishwaga na id ya #teamliverpool hapo juu pangekuwa panang'aa zaidi kwa photo za ukweli!!
 
Last edited by a moderator:
10015036_693515964043506_744895687_n.jpg
 
Mkuu Pazi, Lengo letu this season ilikuwa ni Top4 finish aisee, nani alifikiria tungefika this far???..we should be celebrate kufika hapa tulipo coz we deserve thissss!!!!!!..Na team itaendelea kuimarika zaid next season, coz najua kabisa BR this time atapewa support ya kutosha na MABOSS katika usajil ujao..so lets be HAPPY aisee...kumbuka tu last season tulikuwa nafas ya ngap kipind kama HIki?????....Lets be Happy aiseee...

#RedOrDead
 
Kijiwe sijakitembelea muda kidogo lakini dalili njema kule EPL huenda tukapiga kambi hapa hadi majirani zetu watusikie.
Viva Liverpool,you will never walk alone!
 
When you walk through a storm
Hold your head up high
And don't be afraid of the dark
At the end of the storm
There's a golden star (sky)
And the sweet silver song of a lark

Walk on...
Through the rain...
Walk on...
Through the rain
Walk through the wind
And your dreams be tossed and blown...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

You'll never...
You'll never walk alone...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

You'll never walk...
You'll never walk alone...

#OurSong #OurAnthem ...Yuo'll Never Walk Alone!!!!
 
Wakuu hyo Anthem yetu ikipandishwa hapo juu, si itakuwa Poa sana...au?????.....Mtazamo tu wadau..
 
When you walk through a storm
Hold your head up high
And don't be afraid of the dark
At the end of the storm
There's a golden star (sky)
And the sweet silver song of a lark

Walk on...
Through the rain...
Walk on...
Through the rain
Walk through the wind
And your dreams be tossed and blown...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

You'll never...
You'll never walk alone...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

You'll never walk...
You'll never walk alone...

#OurSong #OurAnthem ...Yuo'll Never Walk Alone!!!!

Super Anthem...!
 
Kijiwe sijakitembelea muda kidogo lakini dalili njema kule EPL huenda tukapiga kambi hapa hadi majirani zetu watusikie.
Viva Liverpool,you will never walk alone!
Karibu.
Now that you are back... usiki abandon kijiwe mkuu.
 
Ninaweza kusema ni 75% kuchukua ubigwa na mechi ya Man City ndiyo msema kweli Mbu
Chelsea hawana sumu sana kwetu kwani wote wanakuja hapo ghetto!

Eti kidume cha EPL hawana sumu sn! Kamuulize mancity nilimfanya nini pale Etihad? Nakuja kwako Tarehe 27 kukupiga!

Chelsea we are the champion!!!
 
Last edited by a moderator:
Inaelekea ligi ya mwaka huu inaweza kuwa substituting Manchester United for Liverpool. Anyway, nawaombea mlichukuwe kuliko Sugar daddy running teams. Na SG amalize career akiwa na medal, uloyal wake uzae matunda.
SG hata asipobeba heshima bado anayo kumbuka ameshinda kila kombe medal anazo labda ya hii ligi kuna ma loyal captain wengine pia Hawana medal za kombe jengine kwa matunda aliyashazalisha uefa CL na Europa na FA na mengine wapo hata mbuzi medal haijakaa kwenye Shingo.
 
Today is one of the happiest days as a Kop...
CC: Ntuzu

Haka kajukwaa Kameanza kuchangamka! Sass ndio wakati mzuri Wa kushinda na kulala humu mpk mtakoma! Yani ikifika Tarehe 27 tayari nimeshawafunga nyie watembea upweke!
 
Last edited by a moderator:
Haka kajukwaa Kameanza kuchangamka! Sass ndio wakati mzuri Wa kushinda na kulala humu mpk mtakoma! Yani ikifika Tarehe 27 tayari nimeshawafunga nyie watembea upweke!
Pipe dream...
 
Mkuu Pazi, Lengo letu this season ilikuwa ni Top4 finish aisee, nani alifikiria tungefika this far???..we should be celebrate kufika hapa tulipo coz we deserve thissss!!!!!!..Na team itaendelea kuimarika zaid next season, coz najua kabisa BR this time atapewa support ya kutosha na MABOSS katika usajil ujao..so lets be HAPPY aisee...kumbuka tu last season tulikuwa nafas ya ngap kipind kama HIki?????....Lets be Happy aiseee...

#RedOrDead

Umesahau "The Careful Choosen One" anatakiwa Catalunya. BFC . Poleni sana mtakuwa decline muda mfupi msimu ujao.
 
Teh Teh Teh Teh

Mkuu umeadimika nowadays! !! Umeona politics za mpira eeh? Kuifunga Arsenal sio ubingwa mzee. Rivals iliyo huko juu si mchezo, its a very big fight. Kwa makelele uliyokuwa nayo ni cema hili kombe tukishindwa kulichukua sisi **The Gunners** basi ni heri wachukue hawa watani zetu LFc au Man Shity kuliko nyie na Morinyo wenu mzee wa makelele.
I make full support to LIVERFOOL Mkuu.
Nasubiri tarehe 13/4 tukimpiga Wigan FA inafuta vumbi la kabati pale Emirates. Pole mkui wangu Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom