Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Even Gerrard not a World Class player....hapo ni Suarez tu..kocha wao mzuri sana...

Kocha wa msimu tuzo inamhusu

hahahahah

Gerrard is not a world class player????

Nimecheka sana aiseee!!!!!
 
na vijana wanawapeleka speed kweli Man city Fernandinho ulimi nje Javi Garcia kaingia kashimdwa kukopy na speed.

Hapo msaada mkubwa na wa mwisho uliobaki kwa city ni kumwingiza Aguero tu bas huenda wakaambulia japo goli 1 kwa 3 au 4 hadi mwisho wa mchezo.
 
Ila usijali mtani kwa huu msimu salute kwenu hakuna mpinzani tena.

game ikiisha hivi liver watakuwa na points 77 man city 72,kumbuka man city wana game 2 mkononi..kwa hiyo its not yet over....
 
Even Gerrard not a World Class player....hapo ni Suarez tu..kocha wao mzuri sana...

Kocha wa msimu tuzo inamhusu

Nashangaa hawa mashabiki maandazi wa loserfools wanasema nina chuki binafsi, wakati nimewasifia.

Kocha wao msimu huu amekuwa mzuri sana, tofauti na msimu jana...hili ni fundisho kwa wale Moyes' haters...give the man a season to learn, and then start throwing jabs and uppercuts to him the second season...

Huyo Gerrard, nimewaheshimu tu...ndio maana SAF alisema hajawahi kumwona Gerrard kama mchezaji mzuri...na ana uchu na EPL huyo...akilikosa msimu huu, ndio imekula kwake!
 
Watani wengi sana siku hizi mtani wetu mkuu ni Everton, pale ndiyo tulipopata jina la 'u'll never walk alone'

Nakubaliana nawe ila kukuweka sawa ni kwamba watani wakubwa wa jadi uingereza ni Moyez na Rogerz, fuatili historia vizuri. Naomba kuwasilisha.
 
Hapo msaada mkubwa na wa mwisho uliobaki kwa city ni kumwingiza Aguero tu bas huenda wakaambulia japo goli 1 kwa 3 au 4 hadi mwisho wa mchezo.

Nadhan hata Aguero akiingia bila kubadilika katikati itakuwa ni majanga tu.
 
Back
Top Bottom