Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,220
- 1,183
City wamepotea sana sehemu ya kiungo, wataoga magoli ya kutosha.
na vijana wanawapeleka speed kweli Man city Fernandinho ulimi nje Javi Garcia kaingia kashimdwa kukopy na speed.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City wamepotea sana sehemu ya kiungo, wataoga magoli ya kutosha.
Kaka tumetafuta mchawi muda mrefu sana, wale wahuni wawili wa kimarekani walitulostisha sana kipindi cha Benitez
Even Gerrard not a World Class player....hapo ni Suarez tu..kocha wao mzuri sana...
Kocha wa msimu tuzo inamhusu
na vijana wanawapeleka speed kweli Man city Fernandinho ulimi nje Javi Garcia kaingia kashimdwa kukopy na speed.
Ila usijali mtani kwa huu msimu salute kwenu hakuna mpinzani tena.
Teh Teh Teh
Haka Ka thread Siku hizi kamechangamka Siku hizi!
Khe Khe Khe Khe Khe kumbe Wana Liverpool mmefufuka!
Tuko imara kaka, wewe uko pande gani mkuu
Ila usijali mtani kwa huu msimu salute kwenu hakuna mpinzani tena.
Liver 2-0 man city half tym
Huoni nimekuita mtani hujajua tu niko wapi kaka?
chezea liver wewe?
Even Gerrard not a World Class player....hapo ni Suarez tu..kocha wao mzuri sana...
Kocha wa msimu tuzo inamhusu
kumbe kalikua idle kitambo sana ee?
Naona mnajilamba midomo leo...
Watani wengi sana siku hizi mtani wetu mkuu ni Everton, pale ndiyo tulipopata jina la 'u'll never walk alone'
Hapo msaada mkubwa na wa mwisho uliobaki kwa city ni kumwingiza Aguero tu bas huenda wakaambulia japo goli 1 kwa 3 au 4 hadi mwisho wa mchezo.