Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Nadhani ki-spending Arsenal wanaweza kuwa katika hali nzuri msimu ujao kuliko United. Naamini Arsenal ya msimu ujao itakuwa na mabadiliko mengi kuanzia Manager, bado naamini Wenger hatosaini extension inaelekea alikuwa na mpango wa kuondoka msimu huu sema alipush over baada ya SAF ku-retire. Man Utd ya Moyes itahitaji more than 2 seasons kurudi juu plus mtahitaji kununua wachezaji kwanza watakaokuwa na imani na Moyes pili wenye uwezo unaostahili kuvaa jezi kubwa kama yenu.
Tatizo umeongea kinazi...goons watakuwa vizuri kivipi? Kwa sababu zipi? Unajua United wamesema wapo tayari kutumia pound milioni 200 kwa usajili next summer?!? Sasa nani yupo vizuri hapo?