Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

392252.jpg
 
10295726_10152487227562573_3275182497645525550_n.jpg

Tunakukubali bro....ukianza kuzingua tutakuponda vilevile.....YNWA....!

Umenichekesha kweli mkuu...ila jamaa anaonekana katulia sana na anaweza kuwa na ambition za kukaa muda mrefu ajenge heshima.

Who knows after ten years title ya jina lake ikageuka na kuwa Sir Brendan Rodgers!
 
nimeimiss sana uefa aiseee daaa nakumbuka mbali sana ukiwa unapigwa wimbo WA uefa msim ule benitez ndio kocha daaa yaani mpaka raha Tim tutakayo pangiwa nayo mtoano hata kama ni barca msim ule palikuwa lzm pachimbike aisee.
 
Poyet anaelewa kabisa kuwa upepo ushageuka...!

Aisee jana kanipigia job nzuri hata ivo leo na sie tumempgia kazi gemu ngumu aliyobakiza ni man u so ajtahdi tu katika izo gemu 4 alzobakiza as ukiangalia Norwich anakibarua mech zote 3 alzobakiza ni noma ana arsnal, man u na chelsea akaze tu miracle may hapen Gus na akanusulika kushuka daraja!
 
Tunakila sababu ya kumpongeza make katupunguzia presha dhidi ya adui zetu man city na chelsea.[/QUOT
E]

Tena hao City na Chelsea wana kazi kama bado hawajacheza na Norwich City... jamaa ving'ang'anizi kinoma!
 
tushafikia lengo! Qualification for the champions league next season,ninaamini sasa tuta attract world class players,last season tulimkosa diego costa na mkhitaryan kwa sababu hatukuwepo kwenye champions league. Huyu mkhtaryan ananiuma hadi leo nikimuona pale dotmund,nakumbuka alisema,Liverpool has a great past,but dotmund has a great present.
 
Sasahivi watakuja wenyewe coz ndo tusharudi hivyo katika ulingo...!
 
Back
Top Bottom