Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Football nikitu kibaya Leo dah tukubali tu matokeo ubingwa wa City, Hongereni Chelsea well done for you guys.
 
Football nikitu kibaya Leo dah tukubali tu matokeo ubingwa wa City, Hongereni Chelsea well done for you guys.

Mkuu Pazi mbona bado match mbili? Lolote linaweza kutokea..Ila mtamaliza na Newcastle.. 🙂
 
Last edited by a moderator:
Football nikitu kibaya Leo dah tukubali tu matokeo ubingwa wa City, Hongereni Chelsea well done for you guys.

Yaani hapo nikiwaza Pulis naye bado anatusubiri! Sipati picha!
 
Nimekua naongea sn hapa kwa Zaidi ya mwezi sasa na yametokea! Pamoja na majeruhu wengi tulio nao tumeibuka washindi!

Poleni sn LIVERPOOL na pongezi sn kwa Mike Dean!
 
Liverpool wana ngebe sana...leo wanepakatwa wakae kimya..raha sana kuwa shabiki wa chelsea maana kila siku sukari guru tupu

Aione invisible
 
That was Jose masterclass....you got to love the man in big games.

Bora amani irudi mtaani...maana loserfools walikuwa wanapiga kelele sana.

Ila bado ngoma mbichi...sasa inabidi mwombee adui njaa...Shitty ana game ngumu sana na Everton...so, msikate tamaa..
 
dah! It's painful sana,mpira tumecheza sisi,kufungwa tumefungwa sisi.
Sijaona mpira tuliocheza mkuu zaidi ya kuwaonyesha wapi tunaenda Raheem wamehakikisha haingii winger zote Chelsea waliziuwa hatuna Middle wakupasua kati Lucas kacheza vibaya ila kuonyesha Morinho anaakili baada kutolewa Lucas alisema Asante tumeuwa kati yenye Lampard na Matic a kaweka willian azuie na kuchezesha game kwa Chelsea aliyecheza mpira LFC Leo ni Steven Gerrad na Coutinho Yule Sakho ni mbabaishaji si footballer game Hama hizi, tuwape tu hongera Chelsea tusiwe Kama mashabiki wengine.
 
That is Jose masterclass....you got to love the man in big games.

Bora amani irudi mtaani...maana loserfools walikuwa wanapiga kelele sana.

Ila bado ngoma mbichi...sasa inabidi mwombee adui njaa...Shitty ana game ngumu sana na Everton...so, msikate tamaa..
Game over sioni City kuharibu tena.
 
Back
Top Bottom