Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool poleni sana lakini mme over achieve kuliko mlivyotegemea. kutoka nafasi ya 7 msimu uliopita hadi karibia kubeba ubingwa ni jambo la kujivunia hata kama mnasikitika jinsi mlivyoukosa ubingwa. Cha muhimu ni ku build up next season mpush kwa nafasi ya kwanza kama Arsenal hawatalichukuwa. Jambo lililonishangaza mwishoni mwishoni mwa ligi ni jinsi washabiki wa 7 walivyokimbilia kwa noisy neigbours kama vile wanakwenda kuangalia TV kwa jirani mkorofi.
 
Acha kujifariji...

Mpinzani wa United ni Loserfools...Shitty ni mtani wa jadi...

Sasa mtani wa jadi hana shida yoyote, kwani mwakani tunachukua tena kombe letu...

Ni heri nimfurahie mtani wangu kuliko mpinzani wangu...hii ndiyo sababu ya wanazi wengi wa pale OT kufurahia loserfools kuangukia pua...

Man U mna points ngapi vile?
 
utaumiza watu wewee nyamaza
mkuu haimuzi ukitegemea maumivu yalishatokea na Chelsea game na hakuna aliyetegemea kufika hapa History inaonyesha kuna Timu ilienda 26yrs kuna timu ilienda 50yrs na City 35yrs sasa Wana mawili katika kipindi kifupi kila mtu anaelewa LFC vipi imefanya vizuri na watu mwanzo ni walitegemea wapi watakuwepo? Walioisema itakuwa katika timu zitazobeba ipo wapi? Tizama yenu mkuu LFC kinachotakiwa iendeleze walioliwacha huu mwaka timu nyingi zimejipatia mafunzo kwenye mida Kama hii ni mafunzo makubwa na tumeweka heshima kwa wengi wanaoelewa LFC wapi kipindi kifupi cha nyuma ilipokuwa Kama Manchester City imezidi kuweka heshima kubwa kwenye Soka la Uengereza Underdog hakuwa mbali, LFC I'm Proud of the team na mashabiki na wote wenyekutizama ukweli na si unazi.
 
article-2625277-07EC462600000514-781_634x402.jpg

Poleni wakuu ... ... ... ''You walked alone today''
 
Liverpool poleni sana lakini mme over achieve kuliko mlivyotegemea. kutoka nafasi ya 7 msimu uliopita hadi karibia kubeba ubingwa ni jambo la kujivunia hata kama mnasikitika jinsi mlivyoukosa ubingwa. Cha muhimu ni ku build up next season mpush kwa nafasi ya kwanza kama Arsenal hawatalichukuwa. Jambo lililonishangaza mwishoni mwishoni mwa ligi ni jinsi washabiki wa 7 walivyokimbilia kwa noisy neigbours kama vile wanakwenda kuangalia TV kwa jirani mkorofi.

Msimu huu ulikuwa wa mafanikio kwa Liverpool baada ya kupotea kwa muda mrefu now wamerudi pia kwa Arsenal wamefanikiwa kutetea ubingwa wao kwa msimu wa 10 mfululizo
 
mkuu haimuzi ukitegemea maumivu yalishatokea na Chelsea game na hakuna aliyetegemea kufika hapa History inaonyesha kuna Timu ilienda 26yrs kuna timu ilienda 50yrs na City 35yrs sasa Wana mawili katika kipindi kifupi kila mtu anaelewa LFC vipi imefanya vizuri na watu mwanzo ni walitegemea wapi watakuwepo? Walioisema itakuwa katika timu zitazobeba ipo wapi? Tizama yenu mkuu LFC kinachotakiwa iendeleze walioliwacha huu mwaka timu nyingi zimejipatia mafunzo kwenye mida Kama hii ni mafunzo makubwa na tumeweka heshima kwa wengi wanaoelewa LFC wapi kipindi kifupi cha nyuma ilipokuwa Kama Manchester City imezidi kuweka heshima kubwa kwenye Soka la Uengereza Underdog hakuwa mbali, LFC I'm Proud of the team na mashabiki na wote wenyekutizama ukweli na si unazi.

Apaone Ntuzu agosti 8 Mentor
 
Usiku wa Uefa umerudi tena mahala pake,nafurahi saaana kwakuwa ni muda wangu sasa wa kununua dstv decoder.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Umeona mpango Wa Okhondima lkn? Na wewe vp utachukua Dstv Au aljazeera sports? Na mkitolewa kwenye CL mtaendelea kulipia vifurushi?

ha ha ha ha! Ntuzu unadhani me naangalia mpira kwenye vibanda umiza? Nina Dstv nimeilipia premium package kwa miezi 36 hapa mpaka msimu wa 2015/16 guaranteed,samsung 32'' LED.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa Ntuzu hii ni zawadi yangu kwa mzee.Yeye ni shabiki wa Arsenal,sasa kumuondolea maumivu ndio nimeamua hivyo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Gerrard: This group brought dreams back[/h]"It's not doom and gloom - Champions League football is back. It has taken me until 33 to get this experience of a proper title race. What this is going to do for this young squad is going to take them to the title.
"Whether it is next year or the year after, it will happen pretty soon - that's what I believe, because the talent in the squad is there.
"I thought my days of title races were gone, I have to honestly admit that I thought they were gone. But having played with this group of players this year, it's back - the dream is back.
"Although I've only got a couple of years left maybe, I still believe I can get there. I never give up a fight; I never thought I'd be able to say that I'm really confident and I believe that the title is not too far away here."
 
Back
Top Bottom