25 years still counting
utaumiza watu wewee nyamaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
25 years still counting
Acha kujifariji...
Mpinzani wa United ni Loserfools...Shitty ni mtani wa jadi...
Sasa mtani wa jadi hana shida yoyote, kwani mwakani tunachukua tena kombe letu...
Ni heri nimfurahie mtani wangu kuliko mpinzani wangu...hii ndiyo sababu ya wanazi wengi wa pale OT kufurahia loserfools kuangukia pua...
mkuu haimuzi ukitegemea maumivu yalishatokea na Chelsea game na hakuna aliyetegemea kufika hapa History inaonyesha kuna Timu ilienda 26yrs kuna timu ilienda 50yrs na City 35yrs sasa Wana mawili katika kipindi kifupi kila mtu anaelewa LFC vipi imefanya vizuri na watu mwanzo ni walitegemea wapi watakuwepo? Walioisema itakuwa katika timu zitazobeba ipo wapi? Tizama yenu mkuu LFC kinachotakiwa iendeleze walioliwacha huu mwaka timu nyingi zimejipatia mafunzo kwenye mida Kama hii ni mafunzo makubwa na tumeweka heshima kwa wengi wanaoelewa LFC wapi kipindi kifupi cha nyuma ilipokuwa Kama Manchester City imezidi kuweka heshima kubwa kwenye Soka la Uengereza Underdog hakuwa mbali, LFC I'm Proud of the team na mashabiki na wote wenyekutizama ukweli na si unazi.utaumiza watu wewee nyamaza
Man U mna points ngapi vile?
25 years still counting
Liverpool poleni sana lakini mme over achieve kuliko mlivyotegemea. kutoka nafasi ya 7 msimu uliopita hadi karibia kubeba ubingwa ni jambo la kujivunia hata kama mnasikitika jinsi mlivyoukosa ubingwa. Cha muhimu ni ku build up next season mpush kwa nafasi ya kwanza kama Arsenal hawatalichukuwa. Jambo lililonishangaza mwishoni mwishoni mwa ligi ni jinsi washabiki wa 7 walivyokimbilia kwa noisy neigbours kama vile wanakwenda kuangalia TV kwa jirani mkorofi.
mkuu haimuzi ukitegemea maumivu yalishatokea na Chelsea game na hakuna aliyetegemea kufika hapa History inaonyesha kuna Timu ilienda 26yrs kuna timu ilienda 50yrs na City 35yrs sasa Wana mawili katika kipindi kifupi kila mtu anaelewa LFC vipi imefanya vizuri na watu mwanzo ni walitegemea wapi watakuwepo? Walioisema itakuwa katika timu zitazobeba ipo wapi? Tizama yenu mkuu LFC kinachotakiwa iendeleze walioliwacha huu mwaka timu nyingi zimejipatia mafunzo kwenye mida Kama hii ni mafunzo makubwa na tumeweka heshima kwa wengi wanaoelewa LFC wapi kipindi kifupi cha nyuma ilipokuwa Kama Manchester City imezidi kuweka heshima kubwa kwenye Soka la Uengereza Underdog hakuwa mbali, LFC I'm Proud of the team na mashabiki na wote wenyekutizama ukweli na si unazi.
Mliokuwa mnmtetea BR kwa kumdrop Agger kwasababu ya Sakho, mmeiona shughuli ya Agger leo!
He's the Best CB kweye team yetu!
Umeona mpango Wa Okhondima lkn? Na wewe vp utachukua Dstv Au aljazeera sports? Na mkitolewa kwenye CL mtaendelea kulipia vifurushi?