Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Fair enough.
 
Hoja yako ni ipi?

Kwahiyo kipindi Manchester city anachukua ubingwa Liverpool alikuwa yupo vizuri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unakuwa kama hujasoma hoja zangu?

Unataka unambie kwa E.P.L hii mbovu Real madrid au Bayern munich haziwezi kuchukua ubingwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umetumia perfomance ya msimu mmoja?

unajua katika kipindi cha miaka 10 iliyopita hao E.P.L wamechukua Uefa mara ngapi ?

kama hujui basi ujue kuwa wamechukua mara 2, Germany mara 1, Serie A mara 1 na La liga mara 6...

Kwa kipimo chako ligi bora ni La liga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndiyo maana nikasema mtupe vigezo vya kutumia, na pia mseme mnazungumzia lini mpaka lini.

Mimi nimetumia miaka 2, 2018 na 2019, na nikasema bado naona 2020 ni ya timu za EPL.

Sasa kama unataka tuzungumzie miaka 10 nyuma kuwa wazi, kwamba tunazungumzia history.
 
Liver amuogope cty? Bangi hizi
 
Niliishuhudia ikila kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Napoli ndani ya msimu huu.
Kufungwa kupo tuu, taja timu hatari duniani ambayo ilikuwa haifungwi game hata moja, hata juzi kati liver kala gwala kwa villa, ukweli utabaki liver ni timu bora kwa sasa duniani
 
Sio imeiumbua tu Epl,imeiumbua UEFA champions league na fifa club world cup
 
Kumbe ni kakimbizi cha Man city ndo maana.
Hutaki kukubali ukweli ondoa ushabiki kwa sasa Liverpool Hakuna wa kumzuia tena zimebaki mechi kama 6 hivi tupewe mwali wetu..

Liverpool tangu msimu uliopita ilibidi achukue sema uzembe wa vimechi vidogo ulituponza.. Sasa hivi Hakuna kuangalia nyani usoni tunaua tuu
 
EPL ni ligi ya wagonjwa, mwenye nafuu kuliko wote ndio anayechukua ubingwa

Nakuhakikishi, japo Real Madrid haifanyi vizuri sana msimu huu ila ikikutana na Liverpool hii, itakua ni aibu.
Labda ukiongea wewe utaeleweka. EPL ni ligi mbovu yenye timu mbovu zinazofanana kiwango. Isipokuwa msimu huu Liverpool iko juu zaidi ya wenzake.
 
Nilichogungua mleta mada ana chuki binafs na Liverpool ila kaamua kujifichia kwenye kufananisha EPL na ligi nyingine mm shabik Wa man u ila liverpool itatutoa roho mwaka huu na nadhan tusipojpanga hawa jamaa watatawala sana ligi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…