Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Kabla ya yote, tuweke indicators za ligi bora halafu tuanze kutick.

Mfano: Ligi bora ni lazima tumu zikaribiane kwa points, au ligi bora inatakiwa ichukue timu tofauti tofauti ubingwa, au ligi bora ni lazima timu zake zichukue UEFA nk.

Personally kwa sasa naipa EPL kwa kigezo cha UEFA, mwaka 2018 timu ya EPL iliingia fainali UEFA, 2019 timu 4 za EPL ziliingia fainali ya UEFA na Europa.

Nikiangalia mwaka huu pia, naona kabisa kuna nafasi ya City au Liverpool kuingia fainali tena UEFA. Huku Europa Man Utd na Arsenal wakiwakilisha vyema. Na kuna miaka 5 naiona kwa mbele ambapo EPL atasumbua UEFA.

Previously, La Liga alikuwa anaingiza timu kibao Top8 UEFA, tena kuna muda unakuta semi ina Barca, RMD na Atl Madrid; ile ilikuwa ni La Liga time.

Kuna kipindi tuliwahi kuwa na Seria A: huku Juve, huku AC Milan, huku Inter, As Roma na Lazio kwa mbali nk.

Kwangu mimi nimetumia performance ya teams husika UEFA.
Fair enough.
 
Mkuu ligi haina timu 3.

Achana na Timu zingine.

Mkuu nakujibu tena Liverpool inaongoza EPL kwasababu timu tishio kwake kutoka katika jiji la Manchester hazipo vizuri na hilo wao wanalijua na wanautumia udhaifu huo vizuri

Endapo vijana kutoka katika jiji Manchester wangekuwa vzr kusingekuwa na gape kubwa hivyo.

PROUD TO BE MAN CITY'S FAN

MAN CITY FOREVER
Hoja yako ni ipi?

Kwahiyo kipindi Manchester city anachukua ubingwa Liverpool alikuwa yupo vizuri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo liver ana miaka isiyo 9ungua 2o hajaachukua ubngws wa e9l angalia serie A,Laliga,Bundersliga ndani ya miaka kumi iliyo9ita ktk ligi zote hzo bngwa kila cku ni hao hao bayern karbu miaka 5 , juve 7 , huko laliga ni Barca na Rmadrid tuu#%$& huko Ufaransa ndo usisime kla sku ni 9SG....Na hata ndani ya miaka 5 ijayo unaweza kutabiri bingwa ni NANI ktk hzo ligi nyanya lakn tofauti na e9l kuchukua zaidi ya mara mbili mfululizo ni NDOTO hakuna ligi ngumu na bora duniani kama E9L....

#Utamaduni
Mbona unakuwa kama hujasoma hoja zangu?

Unataka unambie kwa E.P.L hii mbovu Real madrid au Bayern munich haziwezi kuchukua ubingwa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya yote, tuweke indicators za ligi bora halafu tuanze kutick.

Mfano: Ligi bora ni lazima tumu zikaribiane kwa points, au ligi bora inatakiwa ichukue timu tofauti tofauti ubingwa, au ligi bora ni lazima timu zake zichukue UEFA nk.

Personally kwa sasa naipa EPL kwa kigezo cha UEFA, mwaka 2018 timu ya EPL iliingia fainali UEFA, 2019 timu 4 za EPL ziliingia fainali ya UEFA na Europa.

Nikiangalia mwaka huu pia, naona kabisa kuna nafasi ya City au Liverpool kuingia fainali tena UEFA. Huku Europa Man Utd na Arsenal wakiwakilisha vyema. Na kuna miaka 5 naiona kwa mbele ambapo EPL atasumbua UEFA.

Previously, La Liga alikuwa anaingiza timu kibao Top8 UEFA, tena kuna muda unakuta semi ina Barca, RMD na Atl Madrid; ile ilikuwa ni La Liga time.

Kuna kipindi tuliwahi kuwa na Seria A: huku Juve, huku AC Milan, huku Inter, As Roma na Lazio kwa mbali nk.

Kwangu mimi nimetumia performance ya teams husika UEFA.
umetumia perfomance ya msimu mmoja?

unajua katika kipindi cha miaka 10 iliyopita hao E.P.L wamechukua Uefa mara ngapi ?

kama hujui basi ujue kuwa wamechukua mara 2, Germany mara 1, Serie A mara 1 na La liga mara 6...

Kwa kipimo chako ligi bora ni La liga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]
Acha udwanz wewe man u mwaka Wa 7 huu bado mbovu et mwaka huu tu ndio mbovu kubal mtokeo Dogo kwa hyo man city alipochukua ubingwa kwa kumuacha Liverpool point moja livermwakajana ilikuwa mbovu na Liverpool alipochukua klabu bingwa ulaya timu nyingne zilikuwa mbovu naongeza na hii alipochukua klabu bingwa dunia timu nyngne zlikuwa mbovu eee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umetumia perfomance ya msimu mmoja?

unajua katika kipindi cha miaka 10 iliyopita hao E.P.L wamechukua Uefa mara ngapi ?

kama hujui basi ujue kuwa wamechukua mara 2, Germany mara 1, Serie A mara 1 na La liga mara 6...

Kwa kipimo chako ligi bora ni La liga

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo maana nikasema mtupe vigezo vya kutumia, na pia mseme mnazungumzia lini mpaka lini.

Mimi nimetumia miaka 2, 2018 na 2019, na nikasema bado naona 2020 ni ya timu za EPL.

Sasa kama unataka tuzungumzie miaka 10 nyuma kuwa wazi, kwamba tunazungumzia history.
 
Mkuu Liverpool inaongoza ligi kwasababu vijana kutoka katika jiji la Manchester[Man U na Man City] hawapo vizuri hakika nakwambia Liverpool si lolote si chochote mbele ya hizo timu.

Mkuu Liverpool huwa waoga sana wakikutana na hizo timu mbili za EPL vibaya mno hata kama haziongozi ligi
Liver amuogope cty? Bangi hizi
 
Niliishuhudia ikila kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Napoli ndani ya msimu huu.
Kufungwa kupo tuu, taja timu hatari duniani ambayo ilikuwa haifungwi game hata moja, hata juzi kati liver kala gwala kwa villa, ukweli utabaki liver ni timu bora kwa sasa duniani
 
Kuna hii ngonjera na propaganda ambayo imetawala vichwa vingi vya mashabiki wa mpira kuwa E.P.L ndiyo ligi ngumu zaidi duniani.

Kila siku huwa tunawapa facts huku kuwa England sio ligi ngumu bali timu zake zinakaribiana viwango watu wanakuwa wabishi hata unapowapa facts.

Bahati nzuri huu mwaka Timu ya Liverpool imekuwa katika kiwango bora na cha juu kushinda timu nyingine zote ndio tunaona sasa ukweli kuwa hii ligi huwa sio ngumu bali timu zinafanana viwango.

Tokea umeanza kushabikia mpira wa miguu ni mwaka gani ambao umeona katika Ligi 3 kubwa za ulaya ( La liga, Bundes liga na E.P.L )timu inayoongoza kwa pointi inaipita timu inayofuata kwa zaidi ya pointi 20 !!! Hata kule Serie A ambapo juve anachukua kwa miaka kama 7 mfululizo hili jambo ni nadra kutokea hata kwenye zile farmers leagues .

Je , hii Liverpool ndiyo timu bora kuwahi kutokea ulaya?

Jibu ni Hapana, Timu bora kuwahi kutokea ulaya katika karne ya 21, kwa maoni ya wengi ni ile Barcelona ya Pep Guardiola (2008-2011) ambayo ilisomba makombe yote unayojua ndani ya msimu mmoja, Hii timu na ubora wake wote haikuwahi kuongoza kwa pointi 20+ ...

Mashabiki wengi wa soka wakawa wanatoa kejeli eti Barcelona ile Pep ingepata tabu England, mi nikawa najiuliza kama Liverpool tuu hii ya kina Henderson, Wijnaldum , Milner inawatesa hivi ingekuja Barca ya ile ya kina Xavi na iniesta si isingefungwa kabisa hata misimu 3, maana katika timu hii ya Liverpool inayotesa sahizi ni wachezaji wawili tuu wangeweza kucheza ile Barcelona na wenyewe ni beki kisiki VVD na kipa wao Allison baasi, wengine kama captain wao Henderson hata benchi asingekaa.

Sasa iweje Liverpool ambayo tunaambiwa iko kwenye ligi ngumu zaidi ulaya iongoze kwa pointi 20+ kitu ambacho hata hakitokeagi kwenye ligi ya ureno ?

Mashabiki wa England sijui mtakuja na utetezi gani !!

Yaani tofauti ya pointi kati ya wa 1 na wa 4 ni pointi 32[emoji23][emoji23][emoji23], Halafu unaambiwa hiyo ndiyo ligi ngumu zaidi Duniani

Liverpool imeiumbua E.P.L....aibuuuuu

View attachment 1344079View attachment 1344081View attachment 1344086

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio imeiumbua tu Epl,imeiumbua UEFA champions league na fifa club world cup
 
Unapopost uwe unatumia akili

Haya Bingwa wa Ligi bora alikula 4 huyo

Screenshot_20190509-124838.png
 
Mkuu ligi haina timu 3.

Achana na Timu zingine.

Mkuu nakujibu tena Liverpool inaongoza EPL kwasababu timu tishio kwake kutoka katika jiji la Manchester hazipo vizuri na hilo wao wanalijua na wanautumia udhaifu huo vizuri

Endapo vijana kutoka katika jiji Manchester wangekuwa vzr kusingekuwa na gape kubwa hivyo.

PROUD TO BE MAN CITY'S FAN

MAN CITY FOREVER
Kumbe ni kakimbizi cha Man city ndo maana.
Hutaki kukubali ukweli ondoa ushabiki kwa sasa Liverpool Hakuna wa kumzuia tena zimebaki mechi kama 6 hivi tupewe mwali wetu..

Liverpool tangu msimu uliopita ilibidi achukue sema uzembe wa vimechi vidogo ulituponza.. Sasa hivi Hakuna kuangalia nyani usoni tunaua tuu
 
EPL ni ligi ya wagonjwa, mwenye nafuu kuliko wote ndio anayechukua ubingwa

Nakuhakikishi, japo Real Madrid haifanyi vizuri sana msimu huu ila ikikutana na Liverpool hii, itakua ni aibu.
Labda ukiongea wewe utaeleweka. EPL ni ligi mbovu yenye timu mbovu zinazofanana kiwango. Isipokuwa msimu huu Liverpool iko juu zaidi ya wenzake.
 
Nilichogungua mleta mada ana chuki binafs na Liverpool ila kaamua kujifichia kwenye kufananisha EPL na ligi nyingine mm shabik Wa man u ila liverpool itatutoa roho mwaka huu na nadhan tusipojpanga hawa jamaa watatawala sana ligi hii
 
Back
Top Bottom