Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

Hizo timu za Manchester ni kwa nini haziko vizuri? Kama ni pesa wanaongoza
Kama ni wachezaji bora wanao
Kama makocha mnao makocha bora kabisa
Mmezidiwa nini?
Uache visingizio
 
Nilichogungua mleta mada ana chuki binafs na Liverpool ila kaamua kujifichia kwenye kufananisha EPL na ligi nyingine mm shabik Wa man u ila liverpool itatutoa roho mwaka huu na nadhan tusipojpanga hawa jamaa watatawala sana ligi hii
Bora wewe umesema ukwel Mkuu wanajiona n wao tu wenye hat miliki na leo spurs kaongeza tundu kwao wapo kimyaaa

Wamesahau kuwa pesa sio kila kitu point 22 wapo nyuma dhid ya Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimu wengi mtateseka Sana,kisa Liverpool,EPL ni ligi ngumu Sana,Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Epl,msimu uliopita bingwa wa Epl na aliyepata nafasi ya pili,walitofautiana point moja tu. Msimu huu yule alihekuwa nafasi ya pili EPL ameongesha ubora wake,mpaka mashabiki wa timu sir Alex wanachukia Sana, poleni manyumbu wa ngome kongwe,MaJoGoo wa jiji wakiwa mabingwa mtatapika nyingi Sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Kama timu za jiji la Manchester,hazina kiwango bora ,kwanini timu za London zisiwe na kiwango bora!? Liverpool Wana kiwango bora Sana,usione aibu wape sifa yao wanayostahili.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mjinga pekee atakaye bisha hili mkuu Liverpool ya sasa ina kikosi bora na kipana.

MAN CITY FOREVER
 
barcelona ilifundishwa na Pep katika kipindi hicho unachotaja. Barcelona ilikuwa moto sana na ikabeba makombe yote muhimu uliyotaja kasoro club champs.
Pep alipohamia epl akaifundisha Man City na ikawa moto sana , lakini wakati City anatesa epl meneja aliyemtoa nishai Pep ni Klopp{kwenye epl na UCL mara mbili)
Baada ya Klopp kuimarika
1: Kaingia fainali mara 2 mfululizo kwenye UCL( kafungwa na Madrid kiboko ya Barcelona)
2 katika hizo mbili kabeba kombe(ubora wa epl unajidhihirisha kwa kutoa finalist wawili(spurs na The reds
3. Klopp kabeba super cup
4.Klopp kabeba club champs
5; liverpool inaongoza epl na itabeba ubingwa kabla ligi haijafika tamati
6 Vilabu vya england vilivyoshiriki UCL msimu huu vimeingia 16 bora ya UCL ni ushahidi kuwa epl ni ligi bora
7 liverpool kwa msimu huu imepata majeruhi wengi kuliko team yoyote( becker, gomes, matip, lovren, shaqir, manne, hendo, keita,Chambo,salla,fabinho,) na mashabiki walisema liver ina kikosi kifinyu lakini imeonekana sio kweli(teenagers) wameifunga eveton
Nimalize kwa kuandika:
morali wa ushindi walionao liver unawapa asilimia kubwa sana ya kufanya vizuri, wakitaka seriously wanabeba ucl na fa cups.
.
 
Analysis yako at least hold some water.
 
Hoja yako ni ipi?

Kwahiyo kipindi Manchester city anachukua ubingwa Liverpool alikuwa yupo vizuri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka tofauti ya points za City vs Liver last season (98 dhidi ya 97 na kumbuka liver kuna wkt alimzidi city points 10.
pia ukumbuke last last season liver alimfunga city 3 times out of 4 walipokutana zikiwemo ucl 2na ligi 1. Miongonimwa top 4 waliomfunga city ni liverpool.
this season kwa kukariri previous trend ya liverpool watu walisema tusubiri september(ikapita) ikaja Desemba (ikapita) ikaja kipindi cha majeruhi( becker,gomes, matip, fabinho keita chambo) kikapita.kumbuka City kuuguliwa na beki mmoja tu Laporte kikosi kikatepeta.
this time the reds wana winning spirit 99.9%
 
Tatizo la kuanza kushabikia mpira ukubwani.
Hizo timu huko huwa zinapishana kufanya vizuri kwa misimu.
Hii Liverpool ni kama inarudi tena kwenye ubora iliyokuwanayo misimu ya nyuma. Kama ungekumbuka enzi iliwika sana Majogoo wa Jiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Epl ni ligi bora!Nani alijua liver angeongoza ligi kwa point zote hizo?tena mbele ya man city na gurdiola ?Nani anajua msimu ujao nani bingwa wa epl?japo mi naamini liver ni bingwa mwakani!!!Epl imetoa mabingwa karibia watano tofauti tofauti wa epl ndani ya miaka kumi yaani chelsea,leicester,man utd,man city na liverpool msim huu!!!Lakin ligi nyingine mabingwa wanatabirika sana!!kama serie a,bundesliga,laliga,lig one!!!LIVA NI BORA TANGU MSIMU JANA HADI MSIM KESHO!MSIM KESHOKUTWA NAMUONA SPURS,LEICESTER NA MAN CITY WAKIWA JUU NA ARSENAL PIA COZ ARTETA YUPO FIT SANA!!!
 
Kama ambavyo Liverpool amesota takribani miaka 30 kuurejelea ubingwa wake,ndivyo hivyo ambavyo Man U itasota miaka Kama hiyo kurejesha Nguvu zake zile za Sir FergusonAlex.
Mabingwa wa msimu ni Kama Arsenal,Chelsea,Man City,New Castle
Washindani wabishi ni Kama Everton,Wolves,The Hammers West Ham,Aston Villa.
EPL ni ligi ngumu. Mara nyingi mwanzo wa msimu timu Bora 4 huwa zinatabiriwa ubingwa kulingana na mwaka husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…