Hajielewi huyo ana kariri tuUefa na ligi ni vitu viwili tofaut kabisa
Liver alibeba uefa instanbul mbele ya milan ila kwenye ligi alikuwa hata haongozi
Chelsea alibeba uefa akiwa ni wa 6
Madrid hajachukua laliga mfululizo miaka ya karibun ila uefa kaichukua mara 3 mfululizo
Hizi knockout ni balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ambayo imefungwa mechi moja tuu E.P.L na inaongoza kwa tofauti ya pointi zaidi ya 20 inapigwa nje na ndani na timu iliyopo nafasi ya 6 La Liga.
Leo ndio mtajua kuwa huwa mnakaririshwa kuwa England is the best league
View attachment 1384987
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huyo unayemterm kama mbabe alifanywaje na Liverpool?Unaposema Real Madrid mmbabe wa La liga unamaanisha nini?
Anaongoza ligi au ni bingwa mtetezi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Valencia anaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 25 ?Je atalanta aliyempiga valencia kwa aggregate ya 8-4 Kwa hiyo tuseme Serie A ni baba lao?
Sent using Jamii Forums mobile app
atleti ?Basi huyo unayemterm kama mbabe alifanywaje na Liverpool?
Hiyo siyo sababu ya kuwa na ligi mbovu..kwa timu kinara kuongoza kwa zaidi ya alama 20...angalia ugumu wa ligi kuanzia timu ya kwanza mpaka ya mwisho yeyoyote anawezA kupoteza mchezo haijalishi ni mkubwa au mdogo huyohuyo liva kapoteza kwa watford..na bado anaweza kupoteza zaidi kwa mechi zijazo kwa timu mdogo Tofauti na ligi za lAliga,seria A,na league 1,huku unakuta ufalme wa Timu kubwa tu.
Atlet ndo mbabe la liga?
Kwani hujui kuwa Manchester city ndiye bingwa mtetezi wa England na ambaye amechukua domestic treble !!Sasa iseme kwa Viceversa Real Madrid imefungwa Nyumbani kwake na Timu iliyozidiwa kwa Points 20 na anayeoongoza Ligi.
Hapo imekaaje?
Narudia tena Nyinyi ni Watu munaoibuka kwa Matukio tu.
Upepo ukibadilika huji kuanzisha Uzi hapa.
Umelinganisha kijinga kweli, kufungwa hakufuati nafas!Timu ambayo imefungwa mechi moja tuu E.P.L na inaongoza kwa tofauti ya pointi zaidi ya 20 inapigwa nje na ndani na timu iliyopo nafasi ya 6 La Liga.
Leo ndio mtajua kuwa huwa mnakaririshwa kuwa England is the best league
View attachment 1384987
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja kugundua nafanya argument na chizi kutoka mirembe blood more.Kwani Liverpool anavikombe vingapi pale EPL?
Nyinyi bhana hoja zenu utazani mumekula Kinyesi
cheki hili chizi lingine...Akili za mleta mada timu ikiongoza ligi kwa tofauti ya point 20 basi hiyo ligi ni dhaifu. Kawaulize Barcelona kipindi wanabanjuliwa kwa Agg ya bao 7 na Bayern Munich walikuwa wanaongoza kwa point ngapi.