Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

Sema Kuna vitimu uko nje kwenye ulimwengu wa watu vinapiga mpira balaah. Kale katimu timecheza nako juzi kanaitwa Monterrey kakikutana na Arsenal, Arsenal anakufa ata kwa goli tano.
 
Sema Kuna vitimu uko nje kwenye ulimwengu wa watu vinapiga mpira balaah. Kale katimu timecheza nako juzi kanaitwa Monterrey kakikutana na Arsenal, Arsenal anakufa ata kwa goli tano.
Flamingo sio katimu bro huyo ndiyo bingwa wa amerika kusini na msimu huu yupo form kinyama kachukua ligi na ndio bingwa wa kopa amerika so anasubiria achukue hili kombe iwe trebble yaan huyu msimfananishe na Montinerriy,Liver kiuwezo anamzid Flamingo ila akiipuuzia Liver ategemee mengi maana huyo ajax wa msimu uliopita alikutanaga na Santos akasumbuliwa balaa wakati Santos yenyewe ishajiyumbia siku hz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia tu hii moja kati ya mechi tamu,sijui inaoneshwa channel gan maana kuna kijana anapiga mwingi kinoma anaitwa Gabriel Barbosa natamani nimwone kama atafurukuta mbele ya European Giant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema Kuna vitimu uko nje kwenye ulimwengu wa watu vinapiga mpira balaah. Kale katimu timecheza nako juzi kanaitwa Monterrey kakikutana na Arsenal, Arsenal anakufa ata kwa goli tano.
Arsenal inakuzaga eti... Maana unaiwaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…