Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

Tulikwambia, tulia sisi ndio wataalamu
 
Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. πŸ˜€πŸ˜€

Hongereni Swahiba japo niseme extra time ndio iliyowaokoa mana wale jamaa sio. πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Swahiba nakupa nafasi ya kuhamia Liverpool japo kwa mkopo,maana si kwa ukibonde wenu huu!hadi watford wanawabonda!🀣
 
Swahiba kwa sasa hawa wanapaswa kuitabiri mvua tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nakuona wangu
usisahau lakin tarehe 4 tukutane humu jamvini kuna nyama italiwa kimya kimya siku hiyo
usimuambie mtu hiyo iwe siri yakoπŸ™‚πŸ™‚
 
nadhani utabiri wako ni mzuri
next time jipange aisee
 
Eti,Klopp hajui kucheza na timu zinazocheza samba anayejua ni nani sasa Bibi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…