Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba

Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda

Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa goli tatu katika mchezo wa club bingwa wa dunia

Kuweka kumbukuku sawa Liverpool hajawahi kuchukua hili kombe hata Mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikwambia, tulia sisi ndio wataalamu
 
Yaani huko hata akiwa mtabiri feki ataaminika tu. 😀😀

Hongereni Swahiba japo niseme extra time ndio iliyowaokoa mana wale jamaa sio. 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Swahiba nakupa nafasi ya kuhamia Liverpool japo kwa mkopo,maana si kwa ukibonde wenu huu!hadi watford wanawabonda!🤣
 
Swahiba kwa sasa hawa wanapaswa kuitabiri mvua tu. 😂😂😂
nakuona wangu
usisahau lakin tarehe 4 tukutane humu jamvini kuna nyama italiwa kimya kimya siku hiyo
usimuambie mtu hiyo iwe siri yako🙂🙂
 
Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba

Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda

Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa goli tatu katika mchezo wa club bingwa wa dunia

Kuweka kumbukuku sawa Liverpool hajawahi kuchukua hili kombe hata Mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani utabiri wako ni mzuri
next time jipange aisee
 
Kloop hajui kucheza na timu zinazocheza samba

Klop huwezi kuchukua hili kombe
Gengenpress yake hufanya kazi kwa timu zinazocheza soka za kujilinda

Flamingo itamtafuna jogoo wa uingereza kwa goli tatu katika mchezo wa club bingwa wa dunia

Kuweka kumbukuku sawa Liverpool hajawahi kuchukua hili kombe hata Mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti,Klopp hajui kucheza na timu zinazocheza samba anayejua ni nani sasa Bibi yako.
 
Back
Top Bottom