Liverpool haiwezi kufungwa na Chelsea, mambo ya kukariri habari za Dembe Ba mwaka 2014 hazina nafasi. Chelsea atapokea kipigo kikubwa bila shida.Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
mkuu nimefungua uzi wako kuona facts ulizoweka juu ulichosema kumbe hamna kitu, hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapoChelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
Liverpool haiwezi kufungwa na Chelsea, mambo ya kukariri habari za Dembe Ba mwaka 2014 hazina nafasi. Chelsea atapokea kipigo kikubwa bila shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kikosi gani cha Chelsea walichonacho???Ya Demba Ba ndo yatakayotokea leo
Chelsea anahitaji kushinda mechi hii maana competition ya top4 sio ya kitoto.
Shabiki wa Man u, unaleta ramli zako hapaChelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
Kama wewe ni liver pole maana cha kwanza leo sala hataoneka atakuwa mfukoni kwa Rudiger alafu Henderson atachomesha kama Gerrard
Naomba hii kauli yako niihifadhi.. Nitakuja kukuletea tena mwezi May,,,, naomba usiikaneLiverpool kwenye maswala ya kuchukua kombe msahau kabisa kama ni UEFA mkijitahidi sana ni fainali au kama ni ligi mkijitahidi sana mtakimbizana na mtu wa nafasi ya kwanza alafu mwisho wake mnafungwa mechi za mwisho
Naomba hii kauli yako niihifadhi.. Nitakuja kukuletea tena mwezi May,,,, naomba usiikane
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother sahau kabisa maswala yakuchukua ubingwa