Liverpool leo anakufa mbele ya Chelsea na ndoto za ubingwa zinafutila

Liverpool leo anakufa mbele ya Chelsea na ndoto za ubingwa zinafutila

Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
mkuu nimefungua uzi wako kuona facts ulizoweka juu ulichosema kumbe hamna kitu, hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
 
Liverpool kwenye maswala ya kuchukua kombe msahau kabisa kama ni UEFA mkijitahidi sana ni fainali au kama ni ligi mkijitahidi sana mtakimbizana na mtu wa nafasi ya kwanza alafu mwisho wake mnafungwa mechi za mwisho
 
Naomba hii kauli yako niihifadhi.. Nitakuja kukuletea tena mwezi May,,,, naomba usiikane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool wanamjua hazard alichowafanyaaa

Kwenye huu msimu ukiachana na man city, timu inayomsumbua liverpool ni chelsea

Game la kwanza 1-1 ,nakumbuka liverpool walisawazisha kipind cha mwisho kabisa, walikuwawwameshaigwa mojaa,

Kombe la calabao hazard aliwafanya kitu mbaya liverpool kwa kuwapiga 2-1 ,kloop anaelewa moto wa chelsea

Hii game ni ngumu sana kwa liver ngonja muda ufikee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom