Liverpool leo anakufa mbele ya Chelsea na ndoto za ubingwa zinafutila

Umeandika hii game ni ngimu kwa liver je ni nyepesi kwa Chelsea?
 
Naona mnajitahidi kujifariji Chelsea ila muelewe tu kuwa hizo ndoto zenu za historia hazitakuwa applied popote Leo.. Mfute kabisaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea ya mwaka huu hata ingekutana na Simba FC ingekung'utwa hata 8, hivi kocha gani hana mbinu mbadala zaidi ya kukariri 4-4-3 na ball position tu bila ya kuwa na techniques, counter attacks na hata mfumo mwingine kuliko kukariri 4-4-3 na ball position tu kila siku[emoji848][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea leo anafuta ndoto za Majogoo za kutwaa kwa mara ya kwanza kikombe cha Premier Laague pale Anfield.
Amka wewe, hiyo ndoto ni ya kutisha mno.... usiku utapokwisha.

Usile Mbegu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…