Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hili lipo wazi kabisa ni swala la muda tunaunga mkono hoja
Hana uwezo wa kuchukua,Asipochukua Liverpool vikombe vyote viwili basi atachukua baba ako #YNWA
Ni mtazamo wako binafsi huo.unayo haki ya kutoa mawazo yakoHabari wakuu
Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa
Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu
Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa
Liverpool poleni sana
Man u hawezi mfunga man city, ile ilikuwaga nguvu ya soda tuMan U yupo tayari Man City achukue kuliko Liverpool.
Mtakuwa mmenielewa
Tatizo ili liverpool achukue epl lazima ashide timu zote, halafu man city apoteze point tatuSio shabiki wa Liverpool lakini msimu huu natamani wachukue ubingwa! Tangu naanza shule ya msingi mpaka sasa sijawahi sikia wakichukua ubingwa wa EPL! No acheni na wao wachukue msimu huu!
OK, ila nadhani safari hii bahati itakuwa kwao! Wapo katika ubora wa hali ya juuTatizo ili liverpool achukue epl lazima ashide timu zote, halafu man city apoteze point tatu
Swala amabalo ni ngumi kwa upande flan
Liverpool akishinda match zilizobaki na city akashinda bas gardiola anabeba epl
Liverpool anaachia point Kwa wolvesHabari wakuu