Liverpool msimu huu hachukui kombe lolote

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu

Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa

Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu

Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa

Liverpool poleni sana
 
Katika hizo mechi nne zilizobaki atakutana na Cardiff City, vile vile katika hizo mechi zilizobaki kuna vibonde wawili, ukiwatoa watoto wa Rafael, na Wolves... Hao wawili waliobaki ni vibonde unless wamezidiana viwango.

Watu wengi mnadhani Liverpool kabaki na mechi mchekea, lakini angalieni sana mechi ya Cardiff na Liverpool, hii game ni ngumu sana kwa Liverpool akijitahidi sana katoa suluhu. Huyu Liverpool yeye aombe tu game mbili ngumu kwa City, atoe draw zote au apoteze moja, au apoteze zote. City akipata matokeo tofauti na hayo anabeba ndoo!
 
Inawezekana ikawa kweli papo hapo inawezekana isiwe kweli, ni suala la muda tu kutamatisha.
 
Muda tu ndio mwalimu mzuri na s porojo. Watu wengi wamefeli kwakuwasikiliza watu # YNWA
 
Barcelona anaenda kufa camp nou akija anfild hapindui meza.. city anadraw na spurs na leicester liva atashinda mech 3 atadraw ya mwsho then anachukua epl.
 
Sio shabiki wa Liverpool lakini msimu huu natamani wachukue ubingwa! Tangu naanza shule ya msingi mpaka sasa sijawahi sikia wakichukua ubingwa wa EPL! No acheni na wao wachukue msimu huu!
 
Habari wakuu

Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa

Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu

Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa

Liverpool poleni sana
Ni mtazamo wako binafsi huo.unayo haki ya kutoa mawazo yako
 
Sio shabiki wa Liverpool lakini msimu huu natamani wachukue ubingwa! Tangu naanza shule ya msingi mpaka sasa sijawahi sikia wakichukua ubingwa wa EPL! No acheni na wao wachukue msimu huu!
Tatizo ili liverpool achukue epl lazima ashide timu zote, halafu man city apoteze point tatu

Swala amabalo ni ngumi kwa upande flan

Liverpool akishinda match zilizobaki na city akashinda bas gardiola anabeba epl
 
OK, ila nadhani safari hii bahati itakuwa kwao! Wapo katika ubora wa hali ya juu
 
Habari wakuu

Najua kuna watu wanamatumain makubwa sanaa na liverpool, huku wakijihakikishia kubeba epl na uefa

Nasikitika kuwatangazia kuwa Kwa gundu alilonalo klop, hatoweza kubeba kombe hata la mbuzi msimu huu

Uefa anaenda kupigwa na barce, epl najua amebakiza match nne, najua anaweza shinda zotee, man city pia kwa hasira alizonazo match ngumu ilikuwa totnhum lakin jumamosi anaenda kuchukia point tatu mhimu ,man city nayeye pia ananafasi ya kushinda match zake tano zilizobaki na kuwa bingwa

Liverpool poleni sana
Liverpool anaachia point Kwa wolves
 
Back
Top Bottom