Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Mpuuzi tu huyo, labda amani na utulivu wa tumbo lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee umetishaaaaNaunga mkono.
95% ya wabunge wa kuchaguliwa walibebwa na Magufuli walikuwa hawachaguliki mfano Mwana FA na Mbeya mjini!
Wajameni naona kama VILE ni kweli ....🤣 🤣Atalazimishaje kila mtu amchukulie magu kama anavomchukulia yeye? Jinga kabisa magu ni nan asikosolewe mama Janet mwenyewe kapendeza baada ya kufiwa🤣🤣🤣🤣🤣
Acha uzandiki nduguHuyu mpuuzi yupo hapo kwa njia za giza tupu
Lusinde yuko sawa, kumbeza beza hayati na kumkashfu wakati kuna wengi wanao kubali juhudizake kutaleta utata ukombele.
Bingu manayake nini we kisirani.Kuna haja ya kuwa na kiwango cha chini cha elimu kabla mtubhajagombea ubunge. Yaani bingu lina wabunge wanaopigania maiti!
cha msingi nduli yuko futi 6 ardhini.Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.
JPM was the man himself, jeshi la mtu mmoja from nowhere akaamua tu kukomesha pumbavu
Sijaona bado kwenye mifumo na siasa mwenye kufanana na JPM labda mtaani huku wapo na system inawakataaa tu...
Binafsi siku nikipata nafasi ya kuongoza hii nchi nitakuwa mtemi, katili na mnyama zaidi ya JPM, JPM bado alikuwa na huruma sana, binafsi hata hiyo huruma sitokuwa nayo...PUMBAVU ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi hii....
Jitu linahujumu miundombinu watu wakose umeme lenyewe lipate hela, Nguzo za umeme from TZ zinakwenda tunduma zinageuza zinapigwa nembo tunaambiwa zimetoka SA...Hivi ukiwa Rais unafanyaje dhidi ya hizi pumbavu kama sio kutoa roho na kuzipoteza kabisa na wengine wajifunze...
Kunasiku utakuja kuomba radhi humu utasema bora huyo unaemuita dhalimu hakuwa mnafiki, kiongozi aliekuwa na msimamo.Dhalimu yoyote lazima asemwe.