Kwenye enzi za kijamaa lazima yawepo kwa ndani na yabaki mali ya dola lakini enzi hizi za GLOBALIZATION kila jambo linajulikana hivyo uovu wa Magufuri upo katika kupenda sifa za kijinga na kuchukia uwazi,halafu huo ubadhirifu wa kutoa nguzo Mufindi na kwenda kuzipaka rangi TUNDUMA halafu Serikali inasema zimenunuliwa South Africa,utajulikanaje pasipo na Transparency ya kweli kutoka vyombo mbali mbali?
Ujinga wa Magufuri ni kuwaaminisha wajinga na wapumbavu wachache kuwa Tanzania ilikuwa taabuni,lakini baada ya yeye kuwa rais basi matatizo yaliyokuwa yanaikabili Tanzania yaliisha,kitu ambacho si kweli,kukazaliwa wasiojulikana wengi,kukazaliwa wavivu wengi kwa kisingizio cha wanyonge na ili wale matunda ya nchi walitumia mwanya wa kumtukuza na kumsifu ili waonekane wazalendo,kukazaliwa wezi wengi kwa kisingizio cha uzalendo,kesi za kubambikiza zikawa nyingi,uhasama baina ya vyama vya upinzani na ccm akiwa mwenyekiti wa ccm,uadui wa ndani na nje ya nchi kwa kupendelea maisha ya zama za mawe na kuacha kwenda na mabadiliko ya dunia ya leo.
Wapumbavu tu na wajinga wataamini Magufuri alikuwa mzalendo wa kweli,bali wasomi na waelevu walijua kuwa tunaelekea Rwanda,Uganda,Burundi,DRC na Somalia.