pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Na wengine wanamkumbuka kwa mabaya aliyowafanyia katika nchi yao wenyewe kisa kuwa rais akapata passport ya kutesa wengine.
PUMBAVU nyingi kama alivyokuwa anazipenda yeye mwenyewe Magufuri, kwanza hakupenda ukweli,pili alikuwa msaliti,tatu alikuwa mchoy na mwisho mwuaji.
Je wanyonyaji wa nchi hii walikuwa wapinzani wa Serikali ya ccm?wapo waliofanyiwa mabaya kwa wao kutenda maovu kwa watanzania, katika harakati hizi kuna watu lazima waumie kwa kufuata mkumbo na wengine hata kufa.... Akiwa kama kiongozi wa dola masikini lililojaa wanyonyaji hilo haliepukiki..... Mengine ni mapungufu ya kibinadamu ambayo mimi na wewe tunayo, InshaAllah mwenyezi Mungu amsamehe katika hayo..
Je wanyonyaji wa nchi hii walikuwa wapinzani wa Serikali ya ccm?
Wivu na chuki binafsi. Japo hata manabii wanasemwa vibaya.Kwani nini asemwe vibaya kama alifanya mazuri[emoji848]
Sio kweli kuna mtu alisema nyerere alizoea vya kunyonga na hana maana yoyote kwa tanzania na bara la afrika.Na kwanini heshima ilazimishwe? Mbona nyerere anaheshimika hadi na watoto
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa kwanza kuzika legacy ya Magufuli ni Mh samia hassanHahaa tupo wengi sana, tunalaka legasi na kazi viendelee pamoja.
Hayo yangejibiwa kwa uwazi kupitia majukwaa ya siasa,mijadala ya Bunge na kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama vile TV,Magazeti,Redio na mitandao ya kijamii,lakini vyote hivyo(TRANSPARENCY) Magufuri hakutaka bali alipenda kusifiwa sifiwa tu yeye na chama chake.Inawezekana pia wanyonyaji wakawatumia wapinzani kwa njia za gizani kuitingisha dola....refer utawala wa JK na team EL walichomfanya kupitia matajiri waliokuwa nyuma ya EL...
TL zile documents alizokuwa anamuomba Mwanyika gizani alikuwa anataka za nini..unafahamu dola inaweza kutrap mawasiliano na info za kila mmoja wetu na kudeal nazo...Yapo meengi ambayo hatuwezi kujadili kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa....ila tambua dola inafahamu mengi ambayo watu wanafanya gizani..
Hayo yangejibiwa kwa uwazi kupitia majukwaa ya siasa,mijadala ya Bunge na kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama vile TV,Magazeti,Redio na mitandao ya kijamii,lakini vyote hivyo(TRANSPARENCY) Magufuri hakutaka bali alipenda kusifiwa sifiwa tu yeye na chama chake.
Kunasiku utakuja kuomba radhi humu utasema bora huyo unaemuita dhalimu hakuwa mnafiki, kiongozi aliekuwa na msimamo.
Kwenye enzi za kijamaa lazima yawepo kwa ndani na yabaki mali ya dola lakini enzi hizi za GLOBALIZATION kila jambo linajulikana hivyo uovu wa Magufuri upo katika kupenda sifa za kijinga na kuchukia uwazi,halafu huo ubadhirifu wa kutoa nguzo Mufindi na kwenda kuzipaka rangi TUNDUMA halafu Serikali inasema zimenunuliwa South Africa,utajulikanaje pasipo na Transparency ya kweli kutoka vyombo mbali mbali?sio kila jambo ni transparency.....mengine ni yandani yanabaki mali ya dola maana ukiambiwa na usiambiwe bado utapinga tu...
Mbunge Yuko sahihi kabisa. Tuache ushabiki, Magu kazi kapiga. Hakuna mwanadamu alokamilika, lakini katenda makuu daima yatatukuka nje na ndani ya nchi.Lusinde yuko sawa, kumbeza beza hayati na kumkashfu wakati kuna wengi wanao kubali juhudizake kutaleta utata ukombele.
Wewe ndie msomi? Kama wewe pia ni msomi basi baba yako aliuza ng'ombe kupeleka Ng'ombe shule.Kwenye enzi za kijamaa lazima yawepo kwa ndani na yabaki mali ya dola lakini enzi hizi za GLOBALIZATION kila jambo linajulikana hivyo uovu wa Magufuri upo katika kupenda sifa za kijinga na kuchukia uwazi,halafu huo ubadhirifu wa kutoa nguzo Mufindi na kwenda kuzipaka rangi TUNDUMA halafu Serikali inasema zimenunuliwa South Africa,utajulikanaje pasipo na Transparency ya kweli kutoka vyombo mbali mbali?
Ujinga wa Magufuri ni kuwaaminisha wajinga na wapumbavu wachache kuwa Tanzania ilikuwa taabuni,lakini baada ya yeye kuwa rais basi matatizo yaliyokuwa yanaikabili Tanzania yaliisha,kitu ambacho si kweli,kukazaliwa wasiojulikana wengi,kukazaliwa wavivu wengi kwa kisingizio cha wanyonge na ili wale matunda ya nchi walitumia mwanya wa kumtukuza na kumsifu ili waonekane wazalendo,kukazaliwa wezi wengi kwa kisingizio cha uzalendo,kesi za kubambikiza zikawa nyingi,uhasama baina ya vyama vya upinzani na ccm akiwa mwenyekiti wa ccm,uadui wa ndani na nje ya nchi kwa kupendelea maisha ya zama za mawe na kuacha kwenda na mabadiliko ya dunia ya leo.
Wapumbavu tu na wajinga wataamini Magufuri alikuwa mzalendo wa kweli,bali wasomi na waelevu walijua kuwa tunaelekea Rwanda,Uganda,Burundi,DRC na Somalia.