Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeiweka vizuri sanaZitto, kama kweli kasema haya maneno, kachemsha vibaya sana.
Na anaweza kutafsirika kwamba anataka kuua watu asiokubaliana nao kisiasa. Au angalau yuko OK wakiuawa.
Kitu ambacho wapinzani wa Magufuli walimtuhumu Magufuli.
Nasema hayo kama mtu ambaye sijamkubali Magufuli katika utawala wake.
Hili ni somo jepesi tu katika siasa za kuishi na watu wengi wenye mawazo tofauti.
Tunatakiwa kupinga hoja za watu, bila kuwachukia wale watu tunaopingana na hoja zao.
Zitto Kabwe, kama kweli kasema maneno haya, ameonekana kuwachukia watu, badala ya kupinga hoja za watu.
Ok FineZitto, kama kweli kasema haya maneno, kachemsha vibaya sana.
Na anaweza kutafsirika kwamba anataka kuua watu asiokubaliana nao kisiasa. Au angalau yuko OK wakiuawa.
Kitu ambacho wapinzani wa Magufuli walimtuhumu Magufuli.
Nasema hayo kama mtu ambaye sijamkubali Magufuli katika utawala wake.
Hili ni somo jepesi tu katika siasa za kuishi na watu wengi wenye mawazo tofauti.
Tunatakiwa kupinga hoja za watu, bila kuwachukia wale watu tunaopingana na hoja zao.
Zitto Kabwe, kama kweli kasema maneno haya, ameonekana kuwachukia watu, badala ya kupinga hoja za watu.
Ukazikwe kando ya kabuli lake.Wapo na Dalali wao Sisi hayatuhusu hayo
Shujaa nani na kwa nini ni shujaa?Ok Fine
Sasa ni lipi jema lilioacha na shujaa?
Mimi anitoe kwenye hao Watanzania wanaotakiwa kuomba radhi! Sina shida na aliyoyasema Zitto! Wasinihusishe kwenye ugomvi wao!"Zitto anatutaka tunaompenda Magufuli tukazikwe naye, Waislamu mmefunga, dini inakataza kuwasema vibaya marehemu na yeye ni Muislamu anajua, ametukosea sana, atuombe radhi Watanzania, @zittokabwe amemkosea sana Mama Magufuli na ameikosea familia"- Livingstone Lusinde
#Bungeni
View attachment 2196330
Ni shujaa wa africa.Mwenyewe alijinasibu kama ni mtetezi wa wanyongeShujaa nani na kwa nini ni shujaa?
Mimi bado sijajua unamzungumzia nani wala kumkubali kuwa ni shujaa.Ni shujaa wa africa.Mwenyewe alijinasibu kama ni mtetezi wa wanyonge
CCM YA MSOGA NI MAVII TUNAKWENDA KUIFLASH 2025 BILA HURUMA YOYOTE NA KUSIMIKA CCM YA WAZALENDOHbr za muda huu
Niko Hapa natazama Bunge la 12 mkutano wa saba , kikao Cha la kumi na moja , mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chini ya Waziri Jenister Muhaghama
Alipewa nafasi bwana Lusinde kuchangia katika mjadala unaoendelea badala ya kujikita katika hoja iliyopo mezani yeye amebaki kumtetea Hayati Magufuli na kusema kuwa ndugu Zitto aache upuuzi wake wa kumsema marehemu Magufuli kwani marehemu hasemwi na kumtaka kufuta kauli yake ya kusema wanaopenda sana Magufuli wakazikwe nae huko Chato, alisisitiza Sana kwa jazba bila hofu
Wakati jamaa anachangia hoja zake Bunge lilikaa kimya sana hakuna aliyempenyeza taarifa wala Mwenyekiti wa Bunge hakutoa neno la kumtaarifu ndugu Lusinde kujikita ktk hoja na kuachana Mambo ya kumjadili mtu pale jamaa alipewa muda kutoa yake ya moyoni na kumtaka ndugu Zitto kuomba msamaha kwa Mama Janeth Magufuli na familia yake kwa udhalilishaji anaoufanya.
Niliona kabisa kuwa jamaa anampenda sana Hayati Magufuli na yeye amesema wasi kabisa kuwa yeye anampenda na aachwe na Zitto afundishwe adabu. Lusinde anaongea as if kwamba hajui kuwa ktk kipindi cha Hayati Magufuli alitumika kuwatukana viongozi walioko sasa hivi madarakani haswa wa chama jamaa anaongea kwa kujiamini Sana na kutokujali
Asilimia 80 mpaka 90 ya Wabunge na Mawaziri wanamkubali sana Hayati Magufuli hata Jenister ni Magufuli forevermore yule.
Pia soma > Zitto: Wanaompenda Magufuli wakazikwe naye Chato, alikuwa Rais fisadi zaidi kuwahi kutokea Tanzania
Zitto anataka au ana tamani kutuua wote tunao mpenda magufuli[emoji848][emoji848]huyu mtu ni hatari sanaZitto, kama kweli kasema haya maneno, kachemsha vibaya sana.
Na anaweza kutafsirika kwamba anataka kuua watu asiokubaliana nao kisiasa. Au angalau yuko OK wakiuawa.
Kitu ambacho wapinzani wa Magufuli walimtuhumu Magufuli.
Nasema hayo kama mtu ambaye sijamkubali Magufuli katika utawala wake.
Hili ni somo jepesi tu katika siasa za kuishi na watu wengi wenye mawazo tofauti.
Tunatakiwa kupinga hoja za watu, bila kuwachukia wale watu tunaopingana na hoja zao.
Zitto Kabwe, kama kweli kasema maneno haya, ameonekana kuwachukia watu, badala ya kupinga hoja za watu.
Zito ni zuzu mafiiii sijajua kwanini samia ajampa uteuzi kama wakina j makambaTizama ndugu yangu ukimuongelea Zito unaongelea Zuzu
JiweMimi bado sijajua unamzungumzia nani wala kumkubali kuwa ni shujaa.
Sas kwangu Jiwe si shujaa, badilisha kauli kwanza kabla ya yote.Jiwe