Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

Ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kikitumiwa vibaya huleta maangamizi. Zitto bado ana nafasi ya kufuta kauli na kuomba msamaha, Marehemu hasimangwi.
Zitto ninayemjua neno " samahani " linaweza kumpa taabu sana kulitamka.
 
Sas kwangu Jiwe si shujaa, badilisha kauli kwanza kabla ya yote.

Ama sivyo utaanzisha mjadala mpya hapa wa Jiwe ni shujaa au si shujaa.
Hahahaha..

Jiwe is a self proclaimed shujaa wa Afrika.

Just like Idi Amin who was self proclimed King of Scotland.

Where did he proclaim that he is "shujaa wa Afrika"?

Evidence please.
 
Hii imenifanya nimwone Zitto Kabwe kuwa ni Hovyo kabisa na haijui siasa kabisa.

Ameongea kama mnywa piwa.
 
Where did he proclaim that he is "shujaa wa Afrika"?

Evidence please.
Screenshot_20220423-120145_Samsung Internet.jpg
 
Zito katoa mfano wa wafalme wa zamani walivyo kuwa!! sasa nyie mnayakuza kishamba imewauma mbona korosho na wakulima walidhurumiwa mnayaruka?? ....kama aliua wenzake hovyo wenye damu km yake tena kikatili mnooo!!!

kwanza ashukuru yeye kafia kitandani angefanyiwa ivo na nyerere angefika kuwa rais? nao wafu hao waliumbwa na Mungu km yeye, nasema Mungu awaweke mahali pema peponi kina Anzoli gwanda Ben saanane nk!

sasa kwa nini yeye aliyeua asisemwe km muhusika mkuu! wa mauaji hayo ya hovyo? sawa mkewe jiwe anajisikia vibaya!! sawa! je kwani alio waua na kuwateka hawana wake na watoto??? au ndo ile damu nzito...? kufanya mfanye nyie ila akifanya zito.....

kwa hiyo zito anatoa somo zuri sana hata kwenu mlioko humu kuwa dhuruma haifai, pia serikali iwajibike kuwalipa wale wakulima walio dhurumiwa korosho zao! wana watoto pia lkn pia ni haki ya jasho lao!..wamedhurumiwa!!

acheni mambo ya kingese bana na wao hao wakulima wana damu roho na mwili km jiwe! kuwanyanyasa kijinga ndo maana alikufa kijima ivo narudia tena dhurma haifai ....sirikali ndo imuombe Zitto samahani!! ika wafariji wafiwa na walioshindiliwa Risasi mchana kweupeee!

na uchunguzi wa haki ufanywe ili muwe salama hapo Magogoni!! yaani Kipindi cha Jiwe Magogoni pale ilikuwa ni Damu tupu kunuka ....mweee! ukiua kusemwa ni lazima, ile damu inalia! yaani mmelewa hata hamtaki tuwaseme kuwa mmeua jamani kweli??

Yaania fadhali hata watawala wa Mkoloni! muarabuu! alituheshimu km vitendea kazi vyake, kuliko jiwe na mijitu myeusi km nyie mnao msema kabwe! ...Mama Janety ajue aliolewa na kumkarangizia Jitu uuaji!! .....na Mungu alisema ivi namnukuu ''Usiue".

Sasa anachotakiwakufanya Mama janeti kufunga na kuomba sana kwa miaka yote Mungu amsamehe make aliishi na jamabazi wakawa mwili mmoja! hkn kuomba samahani wacha wakuue wamezoea!!
 
Zitto kabwe usiombe samahani kamwe!! wacha wakuue! wakuteke , wakuwekee vikwazo, wakukandamize, wakufunge, wakunyime ubunge Mungu atakulipa! huko mbele ya safari! lkn umesema, na kusimamia ukweli!!
 
Ukiyasikiliza vizuri malezo/hoja za lusinde utangundua kuwa zitto anetumika tu kama kivuli ila kuna pahala alikuwa anafikisha ujumbe mahususi kwa wanaomsema vibaya hayati, ikumbukwe Lusinde ni mmoja ya wale waliofiwa haswaa
 
Zitto kabwe usiombe samahani kamwe!! wacha wakuue! wakuteke , wakuwekee vikwazo, wakukandamize, wakufunge, wakunyime ubunge Mungu atakulipa! huko mbele ya safari! lkn umesema, na kusimamia ukweli!!
Kwa hyo magu Hana zuri moja la kukumbukwa jmn
 
Zito katoa mfano wa wafalme wa zamani walivyo kuwa!! sasa nyie mnayakuza kishamba imewauma mbona korosho na wakulima walidhurumiwa mnayaruka?? ....kama aliua wenzake hovyo wenye damu km yake tena kikatili mnooo!!!

kwanza ashukuru yeye kafia kitandani angefanyiwa ivo na nyerere angefika kuwa rais? nao wafu hao waliumbwa na Mungu km yeye, nasema Mungu awaweke mahali pema peponi kina Anzoli gwanda Ben saanane nk!

sasa kwa nini yeye aliyeua asisemwe km muhusika mkuu! wa mauaji hayo ya hovyo? sawa mkewe jiwe anajisikia vibaya!! sawa! je kwani alio waua na kuwateka hawana wake na watoto??? au ndo ile damu nzito...? kufanya mfanye nyie ila akifanya zito.....

kwa hiyo zito anatoa somo zuri sana hata kwenu mlioko humu kuwa dhuruma haifai, pia serikali iwajibike kuwalipa wale wakulima walio dhurumiwa korosho zao! wana watoto pia lkn pia ni haki ya jasho lao!..wamedhurumiwa!!

acheni mambo ya kingese bana na wao hao wakulima wana damu roho na mwili km jiwe! kuwanyanyasa kijinga ndo maana alikufa kijima ivo narudia tena dhurma haifai ....sirikali ndo imuombe Zitto samahani!! ika wafariji wafiwa na walioshindiliwa Risasi mchana kweupeee!

na uchunguzi wa haki ufanywe ili muwe salama hapo Magogoni!! yaani Kipindi cha Jiwe Magogoni pale ilikuwa ni Damu tupu kunuka ....mweee! ukiua kusemwa ni lazima, ile damu inalia! yaani mmelewa hata hamtaki tuwaseme kuwa mmeua jamani kweli??

Yaania fadhali hata watawala wa Mkoloni! muarabuu! alituheshimu km vitendea kazi vyake, kuliko jiwe na mijitu myeusi km nyie mnao msema kabwe! ...Mama Janety ajue aliolewa na kumkarangizia Jitu uuaji!! .....na Mungu alisema ivi namnukuu ''Usiue".

Sasa anachotakiwakufanya Mama janeti kufunga na kuomba sana kwa miaka yote Mungu amsamehe make aliishi na jamabazi wakawa mwili mmoja! hkn kuomba samahani wacha wakuue wamezoea!!
Kwa hyo jiwe ndio wakwanza kuuwa watu mbn hat jk nae na mkapa nae alinua watu
 
Push Gang Kaeni kwa Kutulia ,Muda wenu ushakwisha.
Na msoga Sasa mbna mnashindwa kufanya Kaz kama sukuma gang Kaz kuzurura tu na kuaribu uchumi ulizukwa na sukuma gang shame on u wapuuz nyinyi
 
Kwa hyo magu Hana zuri moja la kukumbukwa jmn
Ana mazuri ya maksudi yaliyo tanguliwa na ubaya wake kwa mkono wake!! na hayo mazuri yalikuwa ya kujisafisha yey binasi!
 
Kwa hyo jiwe ndio wakwanza kuuwa watu mbn hat jk nae na mkapa nae alinua watu
Km kuna sehemu Kikwete anahusishwa na mauaji yeyote!!!......basi jua kabisa yalisababishwa na wale wanaompenda kikwete! na kikwete alipendwa bana si mchezo! siyo Bongo tu Duniani kote ni utapenda!

ukiangalia vizuri yaliyotokea enzi zake mara nyingi hakuweponchini, yule alikuwa ni Mzee wa anga, alithaminiwa hivo! hakuna jinsi msichukie but aliposikia alikuja kulia nao na kuzima sooo! na kuwaomba samahani waathiriwa na kuwapa kifuta machozi kikubwa.

usicheze na Rais anae kubalika popote pale Duniani.
 
Na msoga Sasa mbna mnashindwa kufanya Kaz kama sukuma gang Kaz kuzurura tu na kuaribu uchumi ulizukwa na sukuma gang shame on u wapuuz nyinyi

Uchumi gani sukuma waliusuka? Kazi iendelee wacha tuendelee kulamba asali.

Zitto alisema "Kama Unampenda Sana" au Basi.
 
Back
Top Bottom