Zito katoa mfano wa wafalme wa zamani walivyo kuwa!! sasa nyie mnayakuza kishamba imewauma mbona korosho na wakulima walidhurumiwa mnayaruka?? ....kama aliua wenzake hovyo wenye damu km yake tena kikatili mnooo!!!
kwanza ashukuru yeye kafia kitandani angefanyiwa ivo na nyerere angefika kuwa rais? nao wafu hao waliumbwa na Mungu km yeye, nasema Mungu awaweke mahali pema peponi kina Anzoli gwanda Ben saanane nk!
sasa kwa nini yeye aliyeua asisemwe km muhusika mkuu! wa mauaji hayo ya hovyo? sawa mkewe jiwe anajisikia vibaya!! sawa! je kwani alio waua na kuwateka hawana wake na watoto??? au ndo ile damu nzito...? kufanya mfanye nyie ila akifanya zito.....
kwa hiyo zito anatoa somo zuri sana hata kwenu mlioko humu kuwa dhuruma haifai, pia serikali iwajibike kuwalipa wale wakulima walio dhurumiwa korosho zao! wana watoto pia lkn pia ni haki ya jasho lao!..wamedhurumiwa!!
acheni mambo ya kingese bana na wao hao wakulima wana damu roho na mwili km jiwe! kuwanyanyasa kijinga ndo maana alikufa kijima ivo narudia tena dhurma haifai ....sirikali ndo imuombe Zitto samahani!! ika wafariji wafiwa na walioshindiliwa Risasi mchana kweupeee!
na uchunguzi wa haki ufanywe ili muwe salama hapo Magogoni!! yaani Kipindi cha Jiwe Magogoni pale ilikuwa ni Damu tupu kunuka ....mweee! ukiua kusemwa ni lazima, ile damu inalia! yaani mmelewa hata hamtaki tuwaseme kuwa mmeua jamani kweli??
Yaania fadhali hata watawala wa Mkoloni! muarabuu! alituheshimu km vitendea kazi vyake, kuliko jiwe na mijitu myeusi km nyie mnao msema kabwe! ...Mama Janety ajue aliolewa na kumkarangizia Jitu uuaji!! .....na Mungu alisema ivi namnukuu ''Usiue".
Sasa anachotakiwakufanya Mama janeti kufunga na kuomba sana kwa miaka yote Mungu amsamehe make aliishi na jamabazi wakawa mwili mmoja! hkn kuomba samahani wacha wakuue wamezoea!!