Livingstone Lusinde amshambulia Zitto Kabwe dhidi ya kauli yake ya wanaompenda Hayati Magufuli wakazikwe naye Chato

Na yeye Zitto mbona hakuzikwa na mama yake?

Ina maana alikuwa hampendi?
 
Kwani leo ni zamu ya nani kulinda kaburi Chato?

Nadhani kwakuwa ni weekend basi iwe zamu ya kibajaji kwakweli ili akalie vizuri kaburini.
 
haka kajamaa enzi zile kalikuwa kamtu sana kabla ya kufundishwa uduanzi na msoga inc.
 
Umeiweka vizuri sana
 
Ok Fine

Sasa ni lipi jema lilioacha na shujaa?
 
Mimi anitoe kwenye hao Watanzania wanaotakiwa kuomba radhi! Sina shida na aliyoyasema Zitto! Wasinihusishe kwenye ugomvi wao!
 
Asilimia 80 mpaka 90 ya Wabunge na Mawaziri wanamkubali sana Hayati Magufuli hata Jenister ni Magufuli forevermore yule

Lazima iwe hivyo si unakumbuka namna walivyoingia mjengoni?
 
CCM YA MSOGA NI MAVII TUNAKWENDA KUIFLASH 2025 BILA HURUMA YOYOTE NA KUSIMIKA CCM YA WAZALENDO
 
Zitto anataka au ana tamani kutuua wote tunao mpenda magufuli[emoji848][emoji848]huyu mtu ni hatari sana
 
Zito hana busara, kusema wanaompenda magu wakazikwenae nimaneno ya mtu alie kosa chakuongea.

Kumpenda mtu siolazima ukazikwenae kwaniyeye sialimpenda mamayake mbona hakuzikwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…