Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Anasema alipewa kazi ya ulinzi Kiwango Security, katika kazi yake ya ulinzi, kuna siku alipangiwa kulinda kwa Capt. Komba, ndipo alipokutana na mkewe Edina alikuwa house girl kwa Komba, akamletea kanda ya nyimbo za dini, akaiomba, huo ukawa mwanzo!.

P.
Usicheze na wanasiasa ni wazur wa drama labda la kifo ntaamini ni ngumu kusingizia msiba ukisingizia msiba basi wewe ni mchawi.

Kulala juu ya mkorosho?
 
Mkewe Edna kaishia darasa la nne, yeye aliishia darasa la 3, hivyo wakichanganya ndio inakuwa darasa la saba. Amesema jambo moja la muhimu sana, yeye na mkewe wana elimu kubwa sana isiyo rasmi. Kama serikali ingetumia mbinu za kuitap hii elimu isiyo rasmi ya Watanzania wasio na elimu ya darasani, wanaweza kufanya mambo makubwa, kuliko ma profesa wenye elimu za kwenye makaratasi!.

P.
Hahahaa 4+3=7 safi sana Kibajaji wewe ni zaidi ya Prof Lipumba!
 
Umeongea ukweli una uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo na kujenga na kuwasilisha hoja kwa lugha inayoeleweka...ni moja kati ya asset za chama tena yule alipaswa kuwa katibu mwenezi wa chama
 
Anasema amewahi kudharauliwa sana kutokana na umasikini, hivyo kisiasa, amedharauliwa sana, amekiri kwenye siasa, fitna zipo. Anasema usipende kujibu kila tuhuma, amesema yeye ni msomi wa hali ya juu sana ya elimu dunia, elimu ya maisha, hivyo wanaosema hajasoma, wanamtaka aonyeshe vyeti, akasema akionyesha vyeti, watasema hajatahiriwa, then ataonyesha nini?, hivyo haonyeshi vyeti ila amesoma na sio elimu ya darasani!.

P.
 
Kibajaji hakupambana na Malecela, bali walichuana katika kura za maoni wakiwa wote wapo CCM na kwa fitina za kina Makamba (akiwa katibu mkuu na pembeni Lowassa) wakaamua kumchinjia baharini ili asije akatia zengwe huko mbele ya safari ya matumaini.
 
Hakuna mwana CCM asiyeweza kujenga hoja, kila mwana CCM anaweza kujenga hoja hata wale wasiosoma kabisa..
Tatizo lipo kwenye utendaji na kuleta matokeo chanya kwenye jamii, Watanzania wanahitaji matendo yatakayoleta matokeo chanya na sio tantalila hizi..
 
Sasa paskali mbona unamuaibisha hadharani,sisi wengine hatukujua kama ni std seven,pamoja na sifa zote bado ana huo upungufu wa kukosa elimu,hawezi kudadavua yanapokuja mambo yanayohitaji skuli
 
Jamaa amemaliza, kiukweli huyu Jamaa ni very interesting person, ana kipaji cha juu sana cha kujieleza, pia ana powers fulani za success. Kuna watu wameacha shule, au kuishia darasa la saba kutokana na mahangaiko tuu ya maisha lakini wana I.Q kubwa. Huyu Jamaa ana I.Q kubwa sana, angesoma elimu ya darasani, angekuwa profesa!, uthibitisho wa I.Q hiyo, ni kupitia kwa Binti yake aitwae Penina, yuko kwenye top 5 ya vichwa mkoa wa mzima wa Dodoma!.

Hongera sana Mhe. Livingstone Lusinde, kuna kitu najifunza kwako!.

Asanteni kufuatilia.

Paskali
 
kibajaji awe waziri= Acheni utani na elimu, au mnataka kuongeza utalii ili dunia waje kushangaa ajabu lingine la dunia
 
Hakuna mwana CCM asiyeweza kujenga hoja, kila mwana CCM anaweza kujenga hoja hata wale wasiosoma kabisa..
Tatizo lipo kwenye utendaji na kuleta matokeo chanya kwenye jamii, Watanzania wanahitaji matendo yatakayoleta matokeo chanya na sio tantalila hizi..
Nani anakwamisha utendaji?
 
Kibajaji hakupambana na Malechela, bali walichuana katika kura za maoni wakiwa wote wapo CCM na kwa fitina za kina Makamba (akiwa katibu mkuu na pembeni Lowassa) wakaamua kumchinjia baharini ili asije akatia zengwe huko mbele ya safari ya matumaini.
Hapa naona pana ukweli flani hivii!!!
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.1nipelekwa dar na rafiki yangu kwa ajili ya kuuza kahawa.2. niliopelekwa dar na mama mmoja ambae nilimbebea mizigo Yake..ipi sahihi sasa?
 
Leo ni weekend jinga wewe, unadhani kila mtu ni kuli wa wahindi?
Mi bado kijana bwana sinaga weak end mimi. Ndo maana wachina wanatuacha, watatuacha zaidi na zaidi, wee kaa uangalie tiivi na housegirl
 
Back
Top Bottom