radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Usicheze na wanasiasa ni wazur wa drama labda la kifo ntaamini ni ngumu kusingizia msiba ukisingizia msiba basi wewe ni mchawi.Anasema alipewa kazi ya ulinzi Kiwango Security, katika kazi yake ya ulinzi, kuna siku alipangiwa kulinda kwa Capt. Komba, ndipo alipokutana na mkewe Edina alikuwa house girl kwa Komba, akamletea kanda ya nyimbo za dini, akaiomba, huo ukawa mwanzo!.
P.
Kulala juu ya mkorosho?