Usicheze na wanasiasa ni wazur wa drama labda la kifo ntaamini ni ngumu kusingizia msiba ukisingizia msiba basi wewe ni mchawi.Anasema alipewa kazi ya ulinzi Kiwango Security, katika kazi yake ya ulinzi, kuna siku alipangiwa kulinda kwa Capt. Komba, ndipo alipokutana na mkewe Edina alikuwa house girl kwa Komba, akamletea kanda ya nyimbo za dini, akaiomba, huo ukawa mwanzo!.
P.
Hahahaa 4+3=7 safi sana Kibajaji wewe ni zaidi ya Prof Lipumba!Mkewe Edna kaishia darasa la nne, yeye aliishia darasa la 3, hivyo wakichanganya ndio inakuwa darasa la saba. Amesema jambo moja la muhimu sana, yeye na mkewe wana elimu kubwa sana isiyo rasmi. Kama serikali ingetumia mbinu za kuitap hii elimu isiyo rasmi ya Watanzania wasio na elimu ya darasani, wanaweza kufanya mambo makubwa, kuliko ma profesa wenye elimu za kwenye makaratasi!.
P.
Ooh... Okay!...Alianzia Cuf!
Kuna elimu kubwa sana duniani zaidi ya elimu ya darasani.Exposure inasaidia kipindi cha kwanza Bungeni mama Makinda alikuwa anawapa nafasi ya kwenda duniani sana iliwasaidia mno.
Nani anakwamisha utendaji?Hakuna mwana CCM asiyeweza kujenga hoja, kila mwana CCM anaweza kujenga hoja hata wale wasiosoma kabisa..
Tatizo lipo kwenye utendaji na kuleta matokeo chanya kwenye jamii, Watanzania wanahitaji matendo yatakayoleta matokeo chanya na sio tantalila hizi..
Hapa naona pana ukweli flani hivii!!!Kibajaji hakupambana na Malechela, bali walichuana katika kura za maoni wakiwa wote wapo CCM na kwa fitina za kina Makamba (akiwa katibu mkuu na pembeni Lowassa) wakaamua kumchinjia baharini ili asije akatia zengwe huko mbele ya safari ya matumaini.
Leo ni weekend jinga wewe, unadhani kila mtu ni kuli wa wahindi?Sasa Pascal sasa ni saa ya kazi, kushakucha yani, unatuambiaje tuache kazi tukangalie tv?
tehLeo ni weekend jinga wewe, unadhani kila mtu ni kuli wa wahindi?
Mi bado kijana bwana sinaga weak end mimi. Ndo maana wachina wanatuacha, watatuacha zaidi na zaidi, wee kaa uangalie tiivi na housegirlLeo ni weekend jinga wewe, unadhani kila mtu ni kuli wa wahindi?
Livingstone Lusinde ni zao la siasa za upinzani (Nadhani Chadema au NCCR-Mageuzi), huko ndiko alikofundishwa kujenga hoja...
Le Mutuz naye anadanganya alikuwa analala stand ya bus New York, hawa watu wa Mtera ni waongo sana.Usicheze na wanasiasa ni wazur wa drama labda la kifo ntaamini ni ngumu kusingizia msiba ukisingizia msiba basi wewe ni mchawi.
Kulala juu ya mkorosho?