Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mimi sina weak end bali nina weekend, Gambia mapumziko ni siku 3 za wiki.Mi bado kijana bwana sinaga weak end mimi. Ndo maana wachina wanatuacha, watatuacha zaidi na zaidi, wee kaa uangalie tiivi na housegirl
Mkewe Edna kaishia darasa la nne, yeye aliishia darasa la 3, hivyo wakichanganya ndio inakuwa darasa la saba. Amesema jambo moja la muhimu sana, yeye na mkewe wana elimu kubwa sana isiyo rasmi. Kama serikali ingetumia mbinu za kuitap hii elimu isiyo rasmi ya Watanzania wasio na elimu ya darasani, wanaweza kufanya mambo makubwa, kuliko ma profesa wenye elimu za kwenye makaratasi!.
P.
Huo ni mtazamo wako...kujenga hoja hufundishwi, ni kipaji
Naona broo wetu kadumbukia kabisa kwenye T.V na kichwa na miguu , hizi ni kama zile drama za Msukuma, alijielezaaga wakati watu wanajuaga maujanja yake wametulia tu.Le Mutuz naye anadanganya alikuwa analala stand ya bus New York, hawa watu wa Mtera ni waongo sana.
Haya Kula bata mamaMimi sina weak end bali nina weekend, Gambia mapumziko ni siku 3 za wiki.
Kweli kabisa mkuu.Livingstone bado ana nguvu na uwezo wa kifedha kujiendeleza kieleimu. Kama kweli na IQ kubwa na hamu ya elimu kwa nini sasa asijiendeleze? Eric Shigongo alipotambua kuwa ana uwezo wa akili na kifedha ameenda shuleni. Yeye nini kinamzuia kwenda shuleni tuone hiyo IQ yake? Huyu mtu ana maneno mengi sana na anataka kuaminisha umma wa vijana wa Tanzania elimu ya darasani si kitu cha muhimu sana.Watu kama hawa wanaweza kuonekana wa maana kwenye nchi chache, lakini mwisho wao ni mwanguko mmbaya- anagalia Jacob Zuma, kwa mfano
Ukitazama kijana ambaye anemaliza darasa la saba, akaingia garage kama saidia fundi, akakaa kwa miaka 20, akiwa garage, halafu umlete kijana ametoka chuo kikuu kasoma automotive,Jamaa amemaliza, kiukweli huyu Jamaa ni very interesting person, ana kipaji cha juu sana cha kujieleza, pia ana powers fulani za success. Kuna watu wameacha shule, au kuishia darasa la saba kutokana na mahangaiko tuu ya maisha lakini wana I.Q kubwa. Huyu Jamaa ana I.Q kubwa sana, angesoma elimu ya darasani, angekuwa profesa!, uthibitisho wa I.Q hiyo, ni kupitia kwa Binti yake aitwae Penina, yuko kwenye top 5 ya vichwa mkoa wa mzima wa Dodoma!.
Hongera sana Mhe. Livingstone Lusinde, kuna kitu najifunza kwako!.
Asanteni kufuatilia.
Paskali
Kuliko milioni hamsini za kila kijiji kujenga fly-over, ya Tazara. Ambayo ina mkopo na ufadhili -Bora Huyu.Luside huyu huyu
sio std seven ni std3 yani aliishia pale kwenye kujifunza habari za mr and mrs Daudi....hakupata nafasi hata ya kujua habari za kipeuo cha kwanza na cha pili hahahaaaSasa paskali mbona unamuaibisha hadharani,sisi wengine hatukujua kama ni std seven,pamoja na sifa zote bado ana huo upungufu wa kukosa elimu,hawezi kudadavua yanapokuja mambo yanayohitaji skuli
Alishawah kukiri kuwa alilelewa na mzaz mmoja[emoji3][emoji3][emoji3]Kinachofanya aonekane mtu wa hovyo mbele ya jamii ni mdomo wake mchafu.
Saa nyingine kuna kitu kinaitwa bahati kaka asichanganye bahati ambayo siyo wengi wanaipata na jitihada ya mtu. Watoto wa mjini wanaita zaliMkewe Edna kaishia darasa la nne, yeye aliishia darasa la 3, hivyo wakichanganya ndio inakuwa darasa la saba. Amesema jambo moja la muhimu sana, yeye na mkewe wana elimu kubwa sana isiyo rasmi. Kama serikali ingetumia mbinu za kuitap hii elimu isiyo rasmi ya Watanzania wasio na elimu ya darasani, wanaweza kufanya mambo makubwa, kuliko ma profesa wenye elimu za kwenye makaratasi!.
P.
Nafas si ameipata ya UBUNGENimeangalia hicho kipindi,kuna jambo kubwa sana la kujifunza,kuna haja ya kubadili mentalit kuhusu watu wasiopata nafasi ya kukaa darasi haina maana hawana akili,wasomi wengi hujijengea atittude ya academic arrogant(ce) na wanaishia hapo tu....mifano iko mingi kwa watu waliofika mbali na wana elimu duni....