Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Tatizo lake kubwa amesahau alipotoka kiukweli mpenda haki yyote yule Awezi kuwa CCM dhiki na matatizo yote chanzo CCM lkn kwake yy CCM kwanza hlf ndio raia na utanzania unafataka...
Mkuu Rubawa, ukiisikia background yake, utakubaliana na mimi, he had to be CCM.
Maeneo yote yenye umasikini uliotopea, ndizo strong hold za CCM. Lusinde ni very bright na brilliant, alianzia CUF, akaenda Chadema, ndipo akarealize Dodoma kwa umasikini ule, na akili zile, the one and only option ni CCM, hivyo akajiunga CCM na kuhit bingo!.

Na sio Dodoma pekee hata Singida, Lissu ameweza kushinda kwa sababu he is extra ordinary!.

Mpiganaji mzuri ni yule anaingia vitani kwenye vita yenye possibility ya ushindi, hivyo trend iliyopo sasa with Magufuli Wind is sweeping accross Tanzania, kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, ndio maana nimesema hata hii hama hama itafuatiwa na mass exodus 2020, yoyote anayetaka kurejea bungeni has only one choice, CCM.
P
 
Mali zenyewe zimepatikana kwa mfumo wa chukua chako mapema bado zinalindwa na mfumo huo pia Pascal kaka yngu usiniangushe kwa ili mbona kila kitu kipo wazi utaki tu kuona au kutazama vzuri...
Haijalishi zimepatikanaje, ni mali halali kwa kanuni ya the end justify the means.

P.
 
Usicheze na wanasiasa ni wazur wa drama.
Kulala juu ya mkorosho?
Yes kasema kalala juu ya mkorosho sio kwa siku moja, bali kwa siku 7!. Ndio maana nawaambia watu humu, huyu jamaa sio mtu wa kawaida!. He has powers!.
P
 
Umeongea ukweli una uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo na kujenga na kuwasilisha hoja kwa lugha inayoeleweka...ni moja kati ya asset za chama tena yule alipaswa kuwa katibu mwenezi wa chama
Naunga mkono hoja.
P
 
Hakuna mwana CCM asiyeweza kujenga hoja, kila mwana CCM anaweza kujenga hoja hata wale wasiosoma kabisa..
Tatizo lipo kwenye utendaji na kuleta matokeo chanya kwenye jamii, Watanzania wanahitaji matendo yatakayoleta matokeo chanya na sio tantalila hizi..
Mkuu Samurai, I'd like to differ, Watanzania hatuhitaji matendo yanayoleta matokeo chanya, bali tumeridhika kabisa na tantalila. Watanzania tungekuwa tunataka matokeo, CCM ingekuwa kaburini, kitambo!. Kwa vile inaleta tantalila, na sisi tunaichagua kwa tantalila hizi, then Watanzania tunachotaka sio matokeo ya maendeleo, bali ni tantalila za mipango mkakati wa maendeleo, Mkukuta, Mkuza, Mkurabita, Vision 2020, Millennium development goals, Kilimo Kwanza, BRN, sasa tuko Tanzania ya Viwanda. Jee uliwahi kusikia lini kumefanyika mrejesho wa matokeo chanya ya hii mipango mkakati?.
P
 
Tatizo la Lusinde anapenda sana kujikweza na kukebehi...

Paskali hata ungelimpamba vipi, hata angeliongea vipi bado hili la dharau linamtafuna...

Majivuno yake kwa kiasi kikubwa hudhihirika wakati akiongea haswa kwa mambo ayajuayo...

Ndio maana hata CCM humtumia Lusinde katika hadhara zao kwa sababu wanajua hulka na haiba yake...
 
Kibajaji anasema tangu amezaliwa hakuwahi kumjua baba yeke hadi amefariki, wamezaliwa wengi, waliwahi kupata msiba kufiwa na dada yake, shauri ya umasikini, walimzika bila hata Sanda, bali walimzika na gunia!. Aliumia sana!.

Aliletwa Dar na mama mmoja kuja kumbebea mizigo, baada ya kufika jijini na kufikisha mzigo, kesho yake aliporudi pale yule mama alimfukuza kuwa kazi yake imeisha, ni kufikisha tuu mzigo. Hana hili wala lile, alilala juu ya mti wa mkorosho kwa siku saba eneo la Kinondoni Moscow.

Baada ya pele alianza kujiongeza kwa kufanya chochote, zege amebeba, vibarua amefanya, mizigo, akawa anafanya chochote, ameuza kahawa, amekuwa machinga, amefanya kila kitu.

Very interesting!.

Paskali
Mkuu kapitia wengi walipopitia mana ufukara,umaskini kwa nchi yetu ni kawaida,watawala wao ni kuhubiri ahadi za uwongo tu mara 50m kila kijiji..lusinde hata tofauti na msukuma kujieleza wanajua ila inapokuja suala la ccm wao ni zero brain kabisa yani mirembe ndio makazi yao.
Huyu lusinde yeye anatukana wapinzani matusi ya nguoni ndani ya bunge na spika ananyamaza...lusinde ndio think tank wa ccm awamu ya 5[emoji1] [emoji1] huyo ana PHD ya ujinga na uchizi
 
Tatizo la Lusinde anapenda sana kujikweza na kukebehi...

Paskali hata ungelimpamba vipi, hata angeliongea vipi bado hili la dharau linamtafuna...

Majivuno yake kwa kiasi kikubwa hudhihirika wakati akiongea haswa kwa mambo ayajuayo...

Ndio maana hata CCM humtumia Lusinde katika hadhara zao kwa sababu wanajua hulka na haiba yake...
Mkuu Watu 8, kwa watu wafupi kujikweza na majivuno ni kawaida.

Kabla ya ubunge huyu jamaa alikuwa MC hivyo vichekesho na kebehi za hapa na pale ni kawaida.

Sijampamba mtu, nimemuelezea hivyo ndivyo alivyo!.
P
 
Le Mutuz naye anadanganya alikuwa analala stand ya bus New York, hawa watu wa Mtera ni waongo sana.
Le mutuz bila kujua alikuwa anaongeza maswali juu ya maisha yake. Nadhani alikuwa binadamu wa kwanza duniani kulala stand huku baba yake akiwa Waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais katika nchi ambayo haikuwa na machafuko yeyote ya kisiasa.
Lazima kulikuwa na tatizo kwake au baba yake
 
Hatuna haja ya vyeti vya Lusinde, mwambie Bashite aweke vyeti mezani Mkuu, Bashite asifishiki hata kwa dodoki ujue.
 
Nilichogundua kwa story yako ni kwamba umevutiwa na historic ya mafanikio ya kibabajaji jinsi alivyotoka chini mpka Jun na uwezo wake WA kusimulia hio historia. Sijaona chochote cha kusema jamaa ni kichwa, hujasimulia ukichwa wake upo kwenye kitu gani zaid ya taarabu ya kuponda wasomi!

Mayalla hakuna ukichwa only that you have been moved by a touching story.
 
Aliletwa Dar na mama mmoja kuja kumbebea mizigo, baada ya kufika jijini na kufikisha mzigo, kesho yake aliporudi pale yule mama alimfukuza kuwa kazi yake imeisha, ni kufikisha tuu mzigo. Hana hili wala lile, alilala juu ya mti wa mkorosho kwa siku saba eneo la Kinondoni Moscow.

....kesho yake aliporudi toka wapi? ...kwenye mkorosho! ...acheni usanii!
 
Hatuna haja ya vyeti vya Lusinde, mwambie Bashite aweke vyeti mezani Mkuu, Bashite asifishiki hata kwa dodoki ujue.
Hata Bashite ni kichwa sana type ya kibajaji, mtu alipata zero form IV, halafu akajiunga chuo kikuu kwa vyeti vya kufoji na kufaulu chuo kikuu, mtu from zero to hero, lazima atakuwa ni kichwa sana.
P
 
Ndio maana wanapitisha kwa mbwembwe miswada isiyofaa,mf fao la kujitoa,watu Kama hawa ndio wapi game Kelele na majungu bungeni.
Ccm back benchers is fool of political goons ambao awana machungu na watanzania wenzao maskini.
 
Muongo sana huyo. Leo anasema alipelekwa dar na mama fulani kwaajili ya kubeba mizigo, kuna siku alisema alipelekwa dar na rafiki yake kuuza kahawa. Ni muongo wa kutupwa, hapo mwisho wa yote utasikia atakavyojisifu kuwa ana V8 mbili, moja anatumia yeye nyingine mkewe.
Jamaa muongo sana,alafu siasa zake ni za kukashifu wenzake yaani Hana hoja ambayo inaweza ku convince mtu kuwapa kura unless uwe na Mahaba na chama tu.
Nilimsikia juzi anavyo wasema lowasa ,sum aye na mbowe,alafu eti anawadanganya wana kinondoni eti waki chagga mtulia eti attendance kuongea matatizo Yao na magufuri,this was too cheap .
 
Muongo sana huyo. Leo anasema alipelekwa dar na mama fulani kwaajili ya kubeba mizigo, kuna siku alisema alipelekwa dar na rafiki yake kuuza kahawa. Ni muongo wa kutupwa, hapo mwisho wa yote utasikia atakavyojisifu kuwa ana V8 mbili, moja anatumia yeye nyingine mkewe.
Laiti kama Pascal angejua kuwa ametumia muda wake kusikiliza mtu muongo anayepinduapindua maneno angejutia muda huo. Ukimsikiliza bajaj usiamini asilimia 100 kile anachokieleza. Watu wa aina hii hawafai hata kulumangia, acha wawe na mafanikio kwa kuwa hakuna njia moja tu ya kuyafikia mafanikio, lakini kuanza kuwatumia kama mifano mizuri katika jamii, ni kushiriki kuliangamiza taifa. Mafanikio ya akina bajaj yanajumuisha ulaghai, ujanjaujanja wa kupinduapindua maneno, nakadhalika!
 
Back
Top Bottom