Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #141
Mkuu Rubawa, ukiisikia background yake, utakubaliana na mimi, he had to be CCM.Tatizo lake kubwa amesahau alipotoka kiukweli mpenda haki yyote yule Awezi kuwa CCM dhiki na matatizo yote chanzo CCM lkn kwake yy CCM kwanza hlf ndio raia na utanzania unafataka...
Maeneo yote yenye umasikini uliotopea, ndizo strong hold za CCM. Lusinde ni very bright na brilliant, alianzia CUF, akaenda Chadema, ndipo akarealize Dodoma kwa umasikini ule, na akili zile, the one and only option ni CCM, hivyo akajiunga CCM na kuhit bingo!.
Na sio Dodoma pekee hata Singida, Lissu ameweza kushinda kwa sababu he is extra ordinary!.
Mpiganaji mzuri ni yule anaingia vitani kwenye vita yenye possibility ya ushindi, hivyo trend iliyopo sasa with Magufuli Wind is sweeping accross Tanzania, kwa sasa, CCM ndio mpango mzima!, ndio maana nimesema hata hii hama hama itafuatiwa na mass exodus 2020, yoyote anayetaka kurejea bungeni has only one choice, CCM.
P