johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kibajaj hata ukimuangalia usoni unagundua hana akili sio lazima aongee
Ndio mwisho wa ufahamu wakeMbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.
Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.
Chanzo: Star tv bungeni
Ana akili za kitoto, kusafiri kwa basi la Kosta kwake ni maajabu!Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa.
Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote hivyo ndugu zetu Wamasai ni lazima waelewe nia njema ya Serikali yetu.
Chanzo: Star tv bungeni
Ajui=Hajui
Ubarikiweazima
Ukiona yule unayedhani hana akili anaingia Bungeni kuwawakilisha wale unaodhani wana akili, ujue wale unaodhani wana akili wana sifa za kulazwa Mirembe!